Mbabe wa vita Zelensky atembelea majeshi ya mstari wa mbele Donetsk

Mbabe wa vita Zelensky atembelea majeshi ya mstari wa mbele Donetsk

Ana uthubutu usiomithilika,maana hata Putin haamini anachokiona.
Hahah..nyie endeleni kujidanganya na endelee kumdanganya Zele, watakula kichwa mchana kweupe...kaulize kilichomkuta kamanda mkuu wa Majeshi ya Ukraine....Zele atulie....hiyo ni live war, live ammunitions..sio Hollywood au michezo ya kuigiza..kufumba na kufumbua atakua majivu...akae kwa kutia
 
Jana bendera inayotumiwa na wapinzani wengi wa Putin pamoja na Free Russia Legion ilirushwa juu kwa muda katikati ya Moscow!
Putin ni suala la muda tu atakuwa hana chake Russia,maana dikteta yeyote huwa hawi na mwisho mwema.
 
Hivi ilikuwaje mpaka Zelensky akaipeleka Ukraine huku ilihali watu walishatahadharisha sana huko nyuma?
20230524_001021.jpg
 
Hehehe napenda msivyo kata tamaa licha ya aibu yote hii, mlituambia Zele ameikimbia nchi.
Sawa ila mimi macho yangu mabovu sijaona picha wala video ya eneo aliloenda kutembea ila alivyo enda Japan picha na video tuliona wote humu.waswahili wana sema mkono mtupu haulambwi zele ni wanted popote alipo hawezi kwenda wanaposema kaenda hizo ni propaganda tu.
 
Pamoja na usupapawa ameshindwa kufumua Bakhmut, huyo ambaye alijaribu kuparamia Kyev....aibu sana
Bakhmut ipi ya kibera au.ya Ukraine sasa hivi warusi wanapeleka polisi na askari kwa sababu ni sehemu ya urusi tayari.
 
Kuna watu mnachekesha sana yaan nchi imegeuka vifusi wewe unasrma mbabe wa vita.
 
Back
Top Bottom