Mbadala au plan B ni muhimu kwenye maisha

Mbadala au plan B ni muhimu kwenye maisha

Wanaume wote ndio tuko hivyo sasa, plan B nako utakuwa na Plan C matokeo yake papuchi itakuwa kama tambala la deki.

Law of elasticity bila shaka unajua, papuchi itafikia plastic deformation.
 
Guys good evening
Tunaishi Kwenye dunia ambayo huruma ilishapungua kwa binadamu. Watu hawahurumii hisia za wenzao kabisa.
Mtu anaweza akaamka na akaona hawezi kuendelea kuwa na wewe, au unakuta mtu amewapanga kwahiyo kukatisha huba kwa yeyote ni muda wowote.

Sasa katika Hali hii ile formular ya kutenganisha Mayai na kutoyaweka pamoja itakusaidia ili kuepusha hasara yakivunjika yote au ile ya distribution of risk itasaidia Sana.

Mwanamke hupaswi kuweka tumaini lako kwa mtu mmoja ili akizingua usiumie. Yani ikitokea amezingua unaandika nne unatafuta wine unashushia unapigia figa LA pili unacheeeeka siku inaisha.

Usije kusema hukuambiwa.
Jioni njema
asante kwa ukumbusho mzuri sana
 
Back
Top Bottom