Mbadala wa Eng. Hersi Yanga ni Salim Kikeke Simba, sio Mangungu Wala mo.

Ngoja waje wataona hapa wataenda kufanya maamuzi
 
Kama tunataka kufurahia soka Tanzania na Simba itishe, Simba wampe Kikeke Urais wa Simba.
Salim Kikeke inavyoonekana alitapeliwa kwa kuahidiwa kwamba atapewa ajira nono ktk nchi hii na yeye akaingia mkenge wa kufanya Maamuzi ya haraka haraka ya kuacha kazi BBC. Alikuwa bado hajazigundua mbinu za "Ghiriba za Kiutawala" walizonazo watawala wenye Itikadi ya Kikomunisti/Ujamaa, nafikiri Sasa atakuwa ameanza kuelewa somo.
 
Roho inauma sana ninapomuona kikeke mpaka ngozi yake imebadilika kawa mweusi tiii wakati akiwa kule kwa malikia alikuwa mweupe kabisa
 
Salim Kikeke inavyoonekana alitapeliwa kwa kuahidiwa kwamba atapewa ajira nono ktk nchi hii na yeye akaingia mkenge wa kufanya Maamuzi ya haraka haraka ya kuacha kazi BBC. Alikuwa bado hajazigundua mbinu za "Ghiriba za Kiutawala" walizonazo watawala wenye Itikadi ya Kikomunisti/Ujamaa, nafikiri Sasa atakuwa ameanza kuelewa somo.
Kina kitenge walikuwa wanapiga hela kuliko yeye kule BBC na hapa kwa Sasa atakuwa mkubwa hasa kama ataendelea na anachofanya kuliko alivyokuwa stagnant pale BBC ambayo kwa Sasa dira ya dunia iko Nairobi ikirekodiwa na camera za miaka nenda Rudi
 
Utopolo siku zote wanaiwaza Simba , ndio maana Mzee Magoma akawaita mazezeta.
Hivi mna maslahi gani Hadi mpendekeze kiongozi wa Simba.
Mambo ya Simba waachie Wana Simba . Hivi umeshawahi kusikia Simba wanapendekeza nani awe kiongozi wa yanga, halafu mkiambiwa wenye akili ni wawili bado mnabisha.
 
Nasikia wanaidai hata 'Ubaya Ubwela' ni Yao😂
 
Utopolo siku zote wanaiwaza Simba , ndio maana Mzee Magoma akawaita mazezeta.
Hivi mna maslahi gani Hadi mpendekeze kiongozi wa Simba.
Mambo ya Simba waachie Wana Simba . Hivi umeshawahi kusikia Simba wanapendekeza nani awe kiongozi wa yanga, halafu mkiambiwa wenye akili ni wawili bado mnabisha.
Acha kusoma, pita tu
 
Njaaa kali Kikeke hamna kitu hivi best yake Abuu Liongo yu wapiii
 
Back
Top Bottom