Mbadala wa Eng. Hersi Yanga ni Salim Kikeke Simba, sio Mangungu Wala mo.

Kama tunataka kufurahia soka Tanzania na Simba itishe, Simba wampe Kikeke Urais wa Simba.
Ila mashabiki wa msimbazi wanamawazo ambayo dah ๐Ÿ˜ฟ๐Ÿ˜ฟ๐Ÿ˜ฟ๐Ÿ˜ฟ
 
Kama tunataka kufurahia soka Tanzania na Simba itishe, Simba wampe Kikeke Urais wa Simba.
Kichwa cha hii habari yako, kinamaanisha akitoka Hersi, aingie Kikeke. Ina maana Hersi anataka kuachia ngazi, au mmemchoka, mnataka kumuondoa?
 
Roho inauma sana ninapomuona kikeke mpaka ngozi yake imebadilika kawa mweusi tiii wakati akiwa kule kwa malikia alikuwa mweupe kabisa
Sasa kama ndio asili yake afanyeje Sasa
 
Kichwa cha hii habari yako, kinamaanisha akitoka Hersi, aingie Kikeke. Ina maana Hersi anataka kuachia ngazi, au mmemchoka, mnataka kumuondoa?
Hii ndiyo tofauti kati ya akili nyingi na akili kidogo. Akili nyingi wanajadili hoja, fursa na ideas zilizopo, akili ndogo wanajadili watu, spellings, personalities za waleta Fursa, wazo na hoja..
 
Hii ndiyo tofauti kati ya akili nyingi na akili kidogo. Akili nyingi wanajadili hoja, fursa na ideas zilizopo, akili ndogo wanajadili watu, spellings, personalities za waleta Fursa, wazo na hoja..
Unajua maana ya "M'BADALA"?
 
Ila ukweli ni kwamba KIKEKE anahitajika simba kwa nafasi fulani kuongeza mwamko na taste ambayo imepoa simba tangu aondoke Manara....
Si lazima iwe position ya MO wala Mangunga ...
 
Kwanini mkuu , labda umeona mbali?
Ni kijana kuliko Mangungu nadhani, lakini kukaa Uingereza zaidi miaka 20 kunaweza kusaidia kubadilisha mambo Simba na mpira wetu kwa ujumla. Watu kama hawa ingefaa kuwapa nafasi pale TFF pia.
 
Kuhalalisha hisia zako za rohoni mara nyingi inaweza kuwa haina tofauti na ushirikina.

Mbona Kama unachohisi na kikichopo haviendani.

Kikeke amechuma huko BBC na hivi Sasa mwenyewe anasema ana mkwanja.

Amekuja kuanzisha Radio na TV (Crown Radio na TV ) kwa kushirikiana na Ali Kiba.

Lakini unavyobonga hapa utafikiri Kikeke kapotea, Hana cha kufanya alisubiria teuzi na katekekezwa na ana njaa kali.
 
Attachments

  • Screenshot_20240916-094549.png
    365.5 KB · Views: 2
Ni kijana kuliko Mangungu nadhani, lakini kukaa Uingereza zaidi miaka 20 kunaweza kusaidia kubadilisha mambo Simba na mpira wetu kwa ujumla. Watu kama hawa ingefaa kuwapa nafasi pale TFF pia.
Usije ukawa wewe ni kikeke Mkuu
 
Usije ukawa wewe ni kikeke Mkuu
Sisi tunadili na facts mezani, sio watu kama watu. Mangungu Bado anaamini uchawi unasaidia kupata matokeo, lakini anaamini science ya mpira kupata matokeo kutokana na exposure aliyoipata. Mzee TIDO mhando baada ya kurudi nchini kutoka BBC alikuja na picha kubwa sana kwenye tasnia ya habari na michezo, lakini serikali ilimvuta shati pale TBC akakimbilia Azam media ambako ameifanya Azam Leo kuwa dude kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ