Mbadala wa Tesla Model 3 kutoka China kwa Tsh Mil 45 tu!

Mbadala wa Tesla Model 3 kutoka China kwa Tsh Mil 45 tu!

Mbona kampuni duniani maarufu kama BMW,AUDI,Mercedes na Land Rover bado hawajatoa EV?
 
Mbona kampuni duniani maarufu kama BMW,AUDI,Mercedes na Land Rover bado hawajatoa EV?
Wanatoa sana tu hao sema ndio ivyo bei (value for money) na specifications wengi hazipo competitive kama Wachina.

BMW ana i-series nyingi mfano i3 ya kitambo sana tokea 2010s, Mercedes Benz ana EQS na G Wagon za umeme, Range Rover kuna EV pia.
 
Back
Top Bottom