Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,870
- 2,122
Hali Ya Umeme Mbagala Chamanzi ni zaidi ya neno "KERO", Tanesco hawajali wanakata umeme masaa 18 mfululizo mda mwingine mpaka siku mbili mfululizo kwa madai kwamba wanafanya maboresho.
Maboresho ambayo wanaporudisha tu umeme hauwi sawa, Mara Line hii ifanye kazi Nyingine Zigome! Hawana ratiba wanakata hovyo kwa muda sasa. Customer Care yao Ni kituko haijawahi tokea!
Tanesco Hawajali watu wanakula nini, wanapata wapi Riziki!, Wao Miaka yote tangu tunazaliwa tunasikia wanafanya maboresho! Watu masikini kiasi hiki unawakatiaje umeme masaa 18!
Dah!