Pre GE2025 Mbagala: RC Chalamila apokelewa kwa Wimbo "Bao 1 milioni 10 lakini barabara mbovu"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
πŸ˜‚πŸ˜‚nimecheka na kuhudhunika sana..😞😞...Sasa Tunaanza kuelewana Cha kusikitisha ..n kwamba Hawa wananchi Hawa (wanafki wenye faida ) wanasubir liwakute wao ndio waonyweshe kuguswa .

Tupaze sauti na mambo mengne yote ya hovyo..mfano taarifa za C.A.G..kwan haya n Kwa maslahi yetu wote...

ila yote Kwa yote mmetisha hata kama Chalamila aliwapanga ,muhimu Ujumbe umefika Naomba 'NITABARUKU'
 
πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£ "ambao wimbo huo haujulikani maana yake" aisee
 
Huo wimbo unamtosha chala.
 
Duh sikuwahi kuiona hii. Hizi clip ndo za kusambazwa kipindi hiki cha kudai Katiba Mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…