Mbali na kuikosoa serikali kuhusu Makato; lakini kiukweli Watanzania kwenye kulipa Kodi tuwagumu sana

Kabla ya kuulizia na kusema watu walipe kwanza tengeneza misingi ya watu kupata cha kulipa....

Kama vipi Serikali inaona wabangaizaji hawalipi si watoe ajira za kumwaga ili wakate hiyo PAYE ? Ifike wakati tuone uhalisia wabongo wengi hawana kipato cha kuelekewa na maisha yao yamekuwa ya kubangaiza..., hao so called wafanyabiashara ni wachuuzi na wakulima wetu ni forgotten people
 
Hakuna asiyejua umuhimu wa Kodi,
Kama vile hakuna asiyejua umuhimu wa Zaka na Sadaka lakini binadamu ndio tupo hivyo.

Nimekusoma na nimekuelewa sema wewe ndio huangalii uhalisia
Come on pull your socks dude! Uking'angania tu watu walipe kodi bila kuhakikisha kodi inatozwa kwa haki na inatumika vizuri itakuwa unafanya hicho hicho kina Mwingulu wanachofanya. Wewe hutatui tatuzo bali unazidishi tatizo.
 


Nonsense
 
Wao ni Kwa sababu Wana namna ya kukimbia,
Sisi wa kina Katope hatuna njia ya kukimbia πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Naskia washaweka sh.100 kila ukigonga menu ya simbanking au NMB mobile wanafyeka 100 chap πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hizo nchi nyingine wamefanyaje kuondoa hiyo asili ya binadamu kuwa mgumu kutoa? Kwa nini na sisi tusijifunze kutoka kwao?
Asili ya kuwa mgumu kutoa inatokana na ahueni ya maisha! Ifikie mahali hela zako unazotafuta uwe unaziona maana huduma za kijamii zipo free sababu ya kodi inayokusanywa imefikia maturity!
 
nasikia kodi inabidi ikuumize,Ili wakiitumia vibaya uwe na hasira ya kuihoji
 
Kodi zinazokusanywa zinafanya nini zaidi ya kuwanufaisha viongozi. Unajisikiaje kiongozi anapita na v8 alafu wewe unatembe kwa mguu?

Unajisikiaje kiongozi anasomesha mtoto feza alafu wako anasoma kayumba?

Unajisikiaje mbunge analamba mil kadhaa + posho alafu hatimizi wajibu wake?

Unajisikiaje kila siku issue za ufisadi alafu bado tunalia na maji mpaka leo?

Unajikisiaje wastaafu wanajengewe nyumba alafu hatuna madarasa?

Unajisikiaje kuna sanamu linajengwa kwa mil kadhaa alafu hatuna maabara mashuleni?

Unajisikiaje siku ya kuzaliwa mstaafu anazawadiwa gari ya mil kadhaa alafu watoto wanakaa chini shuleni.?

Shida sio kutoa kodi
Shida ni hizo kodi zinasimamiwaje? Zinaelekezwa kule kunakohitajika au kuna wahuni wanajinufaisha huku wakiacha wananchi kwenye hali ngumu za maisha..

Hata ungekua wewe usingekua na moyo wa kutoa hizo kodi.

Alafu mbali na yote, kodi zenyewe sio rafiki. Unakataje tozo yote ile kwenye hela iliyolipiwa kodi?

Ina maana hawajui kuwa mbali na maendeleo ya nchi kuna maendeleo ya mtu mmoja mmoja? Wananchi wanajikongoja na uchumi wa mtu mmoja mmoja bado mnawanyang'anya hicho hicho kidogo walichonacho kwa kisingizio cha kusema hawataki kulipa kodi.

Hivyo vichwa vyenu vinamatatizo
 
Kodi ingelipwa kikamilifu Kama Wabunge wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa na mawazir wangekuwa ndo mfano wa kulipa Kodi
 
Ugumu wa kulipa kodi si kwa Watanzania pekee. Ni kila mtu au taasisi duniani pale ianpowezekena inatafuta upenyo wa kukwepa kulipa kodi.

Kawaulize US jinsi Trump anavyoruka viunzi vya ulipaji kodi.

It's a global phenomenon.
 
Viongozi wenye mishahara mikubwa hawalipi kodi, sisi maisha ya chini tunalipa kodi, kodi yetu hiyo hiyo ndio tena inalipa marupu rupu ya hao viongozi.... ndio maana hatupendi kulipa.
 
Ukisema Tanzanja wagumu sana unalinganisha na wapi au unatumia kipimo gani kama rejea?

Sio lazima nilinganishe,
Come on pull your socks dude! Uking'angania tu watu walipe kodi bila kuhakikisha kodi inatozwa kwa haki na inatumika vizuri itakuwa unafanya hicho hicho kina Mwingulu wanachofanya. Wewe hutatui tatuzo bali unazidishi tatizo.
Ugumu wa kulipa kodi si kwa Watanzania pekee. Ni kila mtu au taasisi duniani pale ianpowezekena inatafuta upenyo wa kukwepa kulipa kodi.

Kawaulize US jinsi Trump anavyoruka viunzi vya ulipaji kodi.

It's a global phenomenon.

πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Wameleta hiyo ya kulipia kupitia luku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…