Wapi nimesema matokeo si halali? Na ulitaka nimjibu vipi ili isionekane jazba. Acha kunisemea mkuuPunguza jaziba muzee, hayo NAYO ni matokeo halali kabisa. Hats hivyo ligi ndiyo inaanza, ni suala LA kujipanga na kuacha kujipa promo bandia mkuu.
Hata kama kwetu ni Kiembesamaki lakini Nanyamba haiko Mtwara Vijijini. Labda ungesema Nanyamba Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara ndo hakika.Mkuu nipo Nanyamba Mtwara vijìjini kijiji cha Njengwa sina matokeò ya simba mečhi ýa lèo
Wapi nimepaniki? Kama unataka matokeo nenda Tume ya Uchaguzi mkuu.Acha kupaniki basi si utoe matokeo!? Wengine hatuna
Hahaha hujui lolote kuhsu MtwaraHata kama kwetu ni Kiembesamaki lakini Nanyamba haiko Mtwara Vijijini. Labda ungesema Nanyamba Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara ndo hakika.
Halafu nikupe matokeo kwani mimi refa au kamisaa wa mchezo?
Ha ha ha umeongeza kupanicWapi nimepaniki? Kama unataka matokeo nenda Tume ya Uchaguzi mkuu.
Chura wapo mton now mkuuVyura mtakoma siku hiyo...
View attachment 869477
Hahaaaa mwenzako kakukimbiaMkuu ni kweli subira muhimu
Ahahaaaaa mzee baba mzee update mbona unakuwa mkal sisi tunataka matokeoHata kama kwetu ni Kiembesamaki lakini Nanyamba haiko Mtwara Vijijini. Labda ungesema Nanyamba Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara ndo hakika.
Halafu nikupe matokeo kwani mimi refa au kamisaa wa mchezo?
Mwite huyo20/09/2018 sio mbali mkuu
Wameshinda njaaHongereni Simba kwa ushindi
Unaropoka tuu [emoji23] [emoji23]Kwa hasira alizonazo kwa sasa.. Mabeki wa Mbao na Mwadui watapata tabu sana.
Kakimbia bwanaSembo, umetoweka hewani ghafla. Nadhani matokeo ya leo yamekusaidia kufahamu mpira japo kidogo.
Vv