Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Wapi nimesema matokeo si halali? Na ulitaka nimjibu vipi ili isionekane jazba. Acha kunisemea mkuuPunguza jaziba muzee, hayo NAYO ni matokeo halali kabisa. Hats hivyo ligi ndiyo inaanza, ni suala LA kujipanga na kuacha kujipa promo bandia mkuu.