Mbao FC na Mwadui FC.. Tunakuja Kuchukua Point Zetu 6.

Punguza jaziba muzee, hayo NAYO ni matokeo halali kabisa. Hats hivyo ligi ndiyo inaanza, ni suala LA kujipanga na kuacha kujipa promo bandia mkuu.
Wapi nimesema matokeo si halali? Na ulitaka nimjibu vipi ili isionekane jazba. Acha kunisemea mkuu
 
Mkuu nipo Nanyamba Mtwara vijìjini kijiji cha Njengwa sina matokeò ya simba mečhi ýa lèo
Hata kama kwetu ni Kiembesamaki lakini Nanyamba haiko Mtwara Vijijini. Labda ungesema Nanyamba Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara ndo hakika.

Halafu nikupe matokeo kwani mimi refa au kamisaa wa mchezo?
 
Hahaha hujui lolote kuhsu Mtwara

Ngoja nikuache utùlize akili leo siku yako imeshà vibaya
 
Nabii tarehe ishirini ndo leo na mmepigwa kamoja.

Neno la siku
Acha ushabiki maandazi
 
Tatizo lao wachezaji wao mababu alafu wanajiona mastar..Amunike wakazie tena hawana viwango..alafu Kichuya atakuwa amepata lidada la Dar..kwishney
 
Hata kama kwetu ni Kiembesamaki lakini Nanyamba haiko Mtwara Vijijini. Labda ungesema Nanyamba Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara ndo hakika.

Halafu nikupe matokeo kwani mimi refa au kamisaa wa mchezo?
Ahahaaaaa mzee baba mzee update mbona unakuwa mkal sisi tunataka matokeo
 
Back
Top Bottom