Ununue team inayoelekea kushuka daraja kwa mil 300 kwa return ipi? Alafu kwa msimu? Yani mnaikodisha kwa gharama ya mil 300 kwa msimu mmoja au mimi ndio sijaelewa?
Hata wakibaki nani atatoa 300m kwa mbao? Tena kwa msimu that means inakodishwaKupata mteja ni mpaka pale watakapo jihakikishia kuwa watendelea kucheza ligi kuu
Kama gari basi ni TZ
Kwa mpira wetu wa Tanzania sidhani Kama Kuna tajiri atakubali kutoa hela hiyo kwa timu aina ya mbao ukitoa Simba na Yanga,Hapo tajiri ataangalia faida ipi ataipata,kwanza timu haina fanbase,faida ya get collection inapatikana ktk mechi mbili tu ambazo Simba na Yanga wataenda kucheza mwanza,timu za hivi huwa zinaendeshwa kihasara sana.Uongozi wa timu ya Mbao United ambayo inapambana isishuke daraja wametangaza kuuza timu hiyo kwa mil 300 kwa msimu,madalali bado wanahangaika kutafuta mteja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakaauzee KUNIIII MBAFUU ZAOOOUongozi wa timu ya Mbao United ambayo inapambana isishuke daraja wametangaza kuuza timu hiyo kwa mil 300 kwa msimu,madalali bado wanahangaika kutafuta mteja.
Sent using Jamii Forums mobile app
wale ni wadhamini sio wamiliki. ni kama Sportpesa na Simba scwale wadhamini wao wa G truck wameishia wapi?
Kuna pesa ya Azam tv, Vodacom na hao G truckwale ni wadhamini sio wamiliki. ni kama Sportpesa na Simba sc
ambacho huelewi ni nini brotherKuna pesa ya Azam tv, Vodacom na hao G truck
timu yao haina bajeti kubwa kama ya simba, yanga na azam lazima kuna kitu chini ya kapeti viongozi hawasemi kwanza walikuwa wanafukuza makocha ovyoovyo ni wazi kuna malipo nyasiyo ya lazima yalikuwa yanatokeaambacho huelewi ni nini brother
sawa ila hao kina g truck,azam,voda nk wanabaki kuwa sponsors tu na sio wamiliki wa timu. anayetafutwa hapa ni mtu wa kumilikishwa timu. hao kina g truck ni source of revenue ya mmiliki wa timu ukijumlisha na gate collections na mauzo ya jezi. Ndiyo,timu haina bajeti kubwa ila ile sio timu ya hisani,ni biashara ambapo kuna gharama za uendeshaji na faida kwa mmiliki lazima isometimu yao haina bajeti kubwa kama ya simba, yanga na azam lazima kuna kitu chini ya kapeti viongozi hawasemi kwanza walikuwa wanafukuza makocha ovyoovyo ni wazi kuna malipo nyasiyo ya lazima yalikuwa yanatokea