Mbao United inauzwa mil 300 kwa msimu

Mbao United inauzwa mil 300 kwa msimu

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Uongozi wa timu ya Mbao United ambayo inapambana isishuke daraja wametangaza kuuza timu hiyo kwa mil 300 kwa msimu,madalali bado wanahangaika kutafuta mteja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupata mteja ni mpaka pale watakapo jihakikishia kuwa watendelea kucheza ligi kuu
 
Duh wangefanya kutafuta operating partners mwenye atleast 500M wangeenda vizuri
Wawe na CEO mzuri _
Wasiposhuka wanitafute tupige kazi
 
K
Uongozi wa timu ya Mbao United ambayo inapambana isishuke daraja wametangaza kuuza timu hiyo kwa mil 300 kwa msimu,madalali bado wanahangaika kutafuta mteja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mpira wetu wa Tanzania sidhani Kama Kuna tajiri atakubali kutoa hela hiyo kwa timu aina ya mbao ukitoa Simba na Yanga,Hapo tajiri ataangalia faida ipi ataipata,kwanza timu haina fanbase,faida ya get collection inapatikana ktk mechi mbili tu ambazo Simba na Yanga wataenda kucheza mwanza,timu za hivi huwa zinaendeshwa kihasara sana.
 
timu yao haina bajeti kubwa kama ya simba, yanga na azam lazima kuna kitu chini ya kapeti viongozi hawasemi kwanza walikuwa wanafukuza makocha ovyoovyo ni wazi kuna malipo nyasiyo ya lazima yalikuwa yanatokea
sawa ila hao kina g truck,azam,voda nk wanabaki kuwa sponsors tu na sio wamiliki wa timu. anayetafutwa hapa ni mtu wa kumilikishwa timu. hao kina g truck ni source of revenue ya mmiliki wa timu ukijumlisha na gate collections na mauzo ya jezi. Ndiyo,timu haina bajeti kubwa ila ile sio timu ya hisani,ni biashara ambapo kuna gharama za uendeshaji na faida kwa mmiliki lazima isome
 
Back
Top Bottom