[emoji16][emoji16][emoji16]hao wa janja wa janja tu..
Yaani mil 300 watie mfukoni alafu uanze kuangahika na timu isishuke daraja.
Ulipe mishahara,gharama za kambi na za viongozi wao wametulia tuliii na milioni zao 300.
ukisikia kuna timu ya kijinga kabisa duniani ni simba, yaani litimu ingawa ni la ovyo ovyo lisilo na mwelekeo limeuzwa kwa bei ya bwerere huku assets zake kwa nchi nzima zikiwa ni Zaidi ya bei iliyo nunuliwa…..tehee teheee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.