Mbao vs Yanga

Hakuna mashabiki mbumbumbu duniani kama wa simba mling'oa vitī vya uwanja mzima baada ya kutundikwa golì
 
Shadeeya mtani where are you?

Pole sana kwa maumivu ya kila leo!

Njoo Simba mtani utulie moyo wako

Ukiendelea kubakia Yanga utakonda bure kwa Stress zisizo za lazima
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ujue nimeamka nacheka tu Mtani. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hatimaye mwisho wa msimu omba omba wachukua ubingwa wa baraπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mtateseka sana mwisho wa msimu nyie simba karatasi
Hahahaaa. Waambie hao na hawataamini macho yao Mkuu.

Sababu watakosa Bara na Pwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…