Hakuna mashabiki wajinga duniani kama wa Yanga
1. Ni jambo la aibu vijana waliokuwa wanazunguka uwanjani na mabendera ya yanga baada ya yanga kusawazisha goli kumzingira, na kuanza kumchania nguo kijana aliyekuwa amevaa nguo nyekundu akiuza maji.
2. Ni jambo la aibu washabiki wa Yanga kuwarushia chupa za maji waamuzi ambao walijitahidi kuwa fair
3. Huu ushabiki wa kijinga sijawahi kuona, hata nchi za ulaya timu ikiwanyumbani lazima wananchi wote wanaishabikia timu ya nyumbani lakini leo nimeshanga unakuta limtu ni la mwanza hapa hapa lakini linajifanya lenyewe ndio yanga mbona kule England timu yao ikiwa nyumbani sijawahi kuona huu ugoro wa kushabikia timu ya nje? mbona kule Hispania, italy na ujerumani sijawahi kuona ujinga kama huu?