Mbao vs Yanga

Mbao vs Yanga

Hakuna mashabiki wajinga duniani kama wa Yanga
1. Ni jambo la aibu vijana waliokuwa wanazunguka uwanjani na mabendera ya yanga baada ya yanga kusawazisha goli kumzingira, na kuanza kumchania nguo kijana aliyekuwa amevaa nguo nyekundu akiuza maji.

2. Ni jambo la aibu washabiki wa Yanga kuwarushia chupa za maji waamuzi ambao walijitahidi kuwa fair

3. Huu ushabiki wa kijinga sijawahi kuona, hata nchi za ulaya timu ikiwanyumbani lazima wananchi wote wanaishabikia timu ya nyumbani lakini leo nimeshanga unakuta limtu ni la mwanza hapa hapa lakini linajifanya lenyewe ndio yanga mbona kule England timu yao ikiwa nyumbani sijawahi kuona huu ugoro wa kushabikia timu ya nje? mbona kule Hispania, italy na ujerumani sijawahi kuona ujinga kama huu?
Hakuna mashabiki mbumbumbu duniani kama wa simba mling'oa vitī vya uwanja mzima baada ya kutundikwa golì
 
hatimaye mwisho wa msimu omba omba wachukua ubingwa wa bara😀😀😀 mtateseka sana mwisho wa msimu nyie simba karatasi
Hahahaaa. Waambie hao na hawataamini macho yao Mkuu.

Sababu watakosa Bara na Pwani.
 
Yanga sio timu ya Wananchi tena bali timu ya Nchi.
Yanga OyeeeeeeeView attachment 1027496


Sent from my iPhone using JamiiForums
Oyeeeeeee.

20190213_185343.jpg
 
Back
Top Bottom