Mbarali: ACT WAZALENDO waanza kutekwa

Mbarali: ACT WAZALENDO waanza kutekwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Maandiko matakatifu kwenye vitabu vyote vya Mungu yameandika kwa msisitizo kwamba SHETANI HAJAWAHI NA WALA HATOKUJA KUWA NA RAFIKI .

H
ata hivyo kutokana na maslahi binafsi , tamaa na njaa , Wanadamu wanajifanya hawaoni mambo haya

Naipongeza sana Chadema kwa kukataa huu ujinga unaoitwa uchaguzi .

Haya ndio Zitto anaita MAMA ANAIPONYA NCHI?

Kususa Susa ndo unaipongeza Chadema? Huo Mbona ni ujinga pia, Chadema mbona miaka ya nyuma wakati wakiwa na mvuto Kwa wananchi walikuwa Wana shiriki chaguzi ndogo, Baadhi ya Majimbo walishinda, na pale waliposhindwa waliweza kutoa upinzani mkali kwa CCM!

Chadema ya sasa wanafahamu kabisa hawawezi kushinda uchaguzi wowote mdogo ndo maana wanajificha kwenye kususa
 
Nawapongeza sana Chadema kwa kukataa kushiriki kwenye uchaguzi huo kwani ingekuwa ni upotevu wa rasilimali fedha na muda kushiriki kwenye uchaguzi ambao uwezekano wa mpinzani kutangazwa mshindi ni ndoto za mchana.Waacheni washindane wenyewe kwani shilingi ngapi
 
Kususa Susa ndo unaipongeza Chadema? Huo Mbona ni ujinga pia, Chadema mbona miaka ya nyuma wakati wakiwa na mvuto Kwa wananchi walikuwa Wana shiriki chaguzi ndogo, Baadhi ya Majimbo walishinda, na pale waliposhindwa waliweza kutoa upinzani mkali kwa CCM!
Chadema ya sasa wanafahamu kabisa hawawezi kushinda uchaguzi wowote mdogo ndo maana wanajificha kwenye kususa
Kama wamesusa ni haki yao. Mbona umeumia Sana wakati vyama kumi na nne vimeshiriki. CHADEMA imegoma kushiriki kwenye uchaguzi huu na zilizopita kutokana na ujinga uliofanywa 2020.
 
Kususa Susa ndo unaipongeza Chadema? Huo Mbona ni ujinga pia, Chadema mbona miaka ya nyuma wakati wakiwa na mvuto Kwa wananchi walikuwa Wana shiriki chaguzi ndogo, Baadhi ya Majimbo walishinda, na pale waliposhindwa waliweza kutoa upinzani mkali kwa CCM!
Chadema ya sasa wanafahamu kabisa hawawezi kushinda uchaguzi wowote mdogo ndo maana wanajificha kwenye kususa
Kama hivyo ndivyo, shida yao iko wapi? Maana wasinde au washindwe haikusaidii wewe au siyo?
 
Dalili za kushindwa huanza polee polee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Maandiko matakatifu kwenye vitabu vyote vya Mungu yameandika kwa msisitizo kwamba SHETANI HAJAWAHI NA WALA HATOKUJA KUWA NA RAFIKI .

H
ata hivyo kutokana na maslahi binafsi , tamaa na njaa , Wanadamu wanajifanya hawaoni mambo haya

Naipongeza sana Chadema kwa kukataa huu ujinga unaoitwa uchaguzi .

Haya ndio Zitto anaita MAMA ANAIPONYA NCHI?

View attachment 2754968
inashangaza ibilisi anatangaza habari za shetani 😳
 
Back
Top Bottom