Mbarali: ACT WAZALENDO waanza kutekwa

Mbarali: ACT WAZALENDO waanza kutekwa

Maandiko matakatifu kwenye vitabu vyote vya Mungu yameandika kwa msisitizo kwamba SHETANI HAJAWAHI NA WALA HATOKUJA KUWA NA RAFIKI .

H
ata hivyo kutokana na maslahi binafsi , tamaa na njaa , Wanadamu wanajifanya hawaoni mambo haya

Naipongeza sana Chadema kwa kukataa huu ujinga unaoitwa uchaguzi .

Haya ndio Zitto anaita MAMA ANAIPONYA NCHI?

View attachment 2754968
Kumbe ACT bado kipo hai?
 
Ukiniuliza mimi kuhusu andiko lako hili, nitakwambia hapo kuna somo muhimu linalohitaji kuzingatiwa.

Lakini kama tukio kama hilo litabaki tu kuwa la kushangilia jinsi akina Zitto wanavyopewa kavukavu, basi somo halitakuwa na maana yoyote.
 
Kajiteka huyo...

Atekwe na serikali kwa lengo lipi?!!!

Hivi ninyi mnadhani taasisi za serikali zina muda wa ujinga?!!![emoji15][emoji15][emoji15]

Watu wanafikiria mambo makubwa ya nchi zaidi ya hizo Siasa koko....
 
Yaani kafunikwa uso kwa kitambaa cheusi na bado kaona?
Huu usanii mwingine harari sana
 
Kajiteka huyo...

Atekwe na serikali kwa lengo lipi?!!!

Hivi ninyi mnadhani taasisi za serikali zina muda wa ujinga?!!![emoji15][emoji15][emoji15]

Watu wanafikiria mambo makubwa ya nchi zaidi ya hizo Siasa koko....
Kasimu Majaliwa aliteka kila aliyechukua fomu uchaguzi wa 2020 , ili apite bila kupingwa .

Wewe ni nani hapa TZ hadi utufundishe ya kuandika hapa ?
 
Kajiteka huyo...

Atekwe na serikali kwa lengo lipi?!!!

Hivi ninyi mnadhani taasisi za serikali zina muda wa ujinga?!!![emoji15][emoji15][emoji15]

Watu wanafikiria mambo makubwa ya nchi zaidi ya hizo Siasa koko....
Mambo makubwa ya wizi wa kura? Pumbavu kabisa
 
63+40+2+1=70
Sitini na tatu jumlisha na arobaini jumlisha na 2 jumlisha na 1 na unaweza kuongeza sifuri unazotaka, jibu ni Sabini.

F6Z7mB_XUAA-FX8

Hiyo ni moja ya results za kura kutoka moja ya vituo vya kura
View: https://x.com/abdulnondo2/status/1704185603191890342?s=20.
 
M
Kajiteka huyo...

Atekwe na serikali kwa lengo lipi?!!!

Hivi ninyi mnadhani taasisi za serikali zina muda wa ujinga?!!![emoji15][emoji15][emoji15]

Watu wanafikiria mambo makubwa ya nchi zaidi ya hizo Siasa koko....
Mjinga wewe
 
Kususa Susa ndo unaipongeza Chadema? Huo Mbona ni ujinga pia, Chadema mbona miaka ya nyuma wakati wakiwa na mvuto Kwa wananchi walikuwa Wana shiriki chaguzi ndogo, Baadhi ya Majimbo walishinda, na pale waliposhindwa waliweza kutoa upinzani mkali kwa CCM!

Chadema ya sasa wanafahamu kabisa hawawezi kushinda uchaguzi wowote mdogo ndo maana wanajificha kwenye kususa
Kwa tume hii ya CCM unategemea ushinde uchaguzi?
Ni mjinga pekee tu ndo atakayekuelewa

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
?Mwenyekiti wa Tume Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele atembelea na kukagua Uchaguzi Mdogo Jimbo la Mbarali​

Imewekwa: September 19, 2023

1695197048749.png

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele leo tarehe 19 Septemba, 2023 ametembelea na kukagua zoezi la kupiga kura kwenye Jimbo la Mbarali lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.

Jaji Mwambegele baada ya kutembelea vituo amesema ameridhishwa na utendaji wa Wasimamizi wa Uchaguzi huo na kuongeza kwamba vituo vimefunguliwa kwa wakati na zoezi linaendelea vizuri kwa utulivu na amani.

Aidha, Jaji Mwambegele amezungumza na mawakala wa vyama vya siasa ambao wamemueleza kuridhishwa na mwenendo wa zoezi la kupiga kura na kwamba hakuna changamoto yoyote iliyojitokeza.

Uchaguzi wa Jimbo la Mbarali unafanyika sambamba na kata sita za Tanzania Bara. Kata zenye uchaguzi ni Nala iliyopo Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Mfaranyaki iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Songea, Mwaniko iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi, Old Moshi Magharibi iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, Marangu Kitowo iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Rombo na Mtyangimbole iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.
source: tovuti: nec.go.tz
 
63+40+2+1=70
Sitini na tatu jumlisha na arobaini jumlisha na 2 jumlisha na 1 na unaweza kuongeza sifuri unazotaka, jibu ni Sabini.

F6Z7mB_XUAA-FX8

Hiyo ni moja ya results za kura kutoka moja ya vituo vya kura
View: https://x.com/abdulnondo2/status/1704185603191890342?s=20.

Siasa za kishamba sana wanazofanya kina Nondo na genge lake,

63+4+2+1=70
ACT wakipata kura 4 jaribu kuangalia kwenye 40 hiyo 0 ipo tofauti na maandishi kwenye namba nyingine/ 0 imechomekwa
 
Kususa Susa ndo unaipongeza Chadema? Huo Mbona ni ujinga pia, Chadema mbona miaka ya nyuma wakati wakiwa na mvuto Kwa wananchi walikuwa Wana shiriki chaguzi ndogo, Baadhi ya Majimbo walishinda, na pale waliposhindwa waliweza kutoa upinzani mkali kwa CCM!

Chadema ya sasa wanafahamu kabisa hawawezi kushinda uchaguzi wowote mdogo ndo maana wanajificha kwenye kususa
Dah watu mmepungukiwa akili,hayo mambo ccm inayofanya kwenye chaguzi mbalimbali tangu enzi za jiwe hadi leo unaona yako sawa?Kweli upumbavu ni ugonjwa mbaya sana kuliko hata ugonjwa wa akili.
 
63+40+2+1=70
Sitini na tatu jumlisha na arobaini jumlisha na 2 jumlisha na 1 na unaweza kuongeza sifuri unazotaka, jibu ni Sabini.

F6Z7mB_XUAA-FX8

Hiyo ni moja ya results za kura kutoka moja ya vituo vya kura
View: https://x.com/abdulnondo2/status/1704185603191890342?s=20.

Katika fomu chini kabisa idadi ya wapiga kura walioandikishwa ni 3 35 au 335. Uandikaji huu wa tarakimu kwa vigezo vya uchaguzi wa 2020 matokeo haya yangefutwa na kutupiliwa mbali kuwa mjaza fomu hajui kuandika
 
Nawapongeza sana Chadema kwa kukataa kushiriki kwenye uchaguzi huo kwani ingekuwa ni upotevu wa rasilimali fedha na muda kushiriki kwenye uchaguzi ambao uwezekano wa mpinzani kutangazwa mshindi ni ndoto za mchana.Waacheni washindane wenyewe kwani shilingi ngapi
Na watu wanasubiri kwa hamu chadema kususia uchaguzi wa 2024 wa serikali za mitaa na ule uchaguzi mkuu wa 2025. Kwani walishahodi kuwa bila ya kuwepo katiba mpya watasusia chaguzi hizo.
 
Back
Top Bottom