Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mkurugenzi wa MwanaHalisi aitwaye Saed Kubenea ni Mwanachama wa ACT WAZALENDOChadema mmeanza kutunga mauongo yenu!!
Mwanahalisi mbona ni ya ACT Wazalendo. Punguza kuitaja CHADEMA hata ambapo haiusiki.Chadema mmeanza kutunga mauongo yenu!!
Kama wamesusa ni haki yao. Mbona umeumia Sana wakati vyama kumi na nne vimeshiriki. CHADEMA imegoma kushiriki kwenye uchaguzi huu na zilizopita kutokana na ujinga uliofanywa 2020.Kususa Susa ndo unaipongeza Chadema? Huo Mbona ni ujinga pia, Chadema mbona miaka ya nyuma wakati wakiwa na mvuto Kwa wananchi walikuwa Wana shiriki chaguzi ndogo, Baadhi ya Majimbo walishinda, na pale waliposhindwa waliweza kutoa upinzani mkali kwa CCM!
Chadema ya sasa wanafahamu kabisa hawawezi kushinda uchaguzi wowote mdogo ndo maana wanajificha kwenye kususa
chadema ndio Nini? Andika vizuri.Unaeza kuta katekwa na chadema
Usipoitaja chedema hupati usingizi kbs!!Chadema mmeanza kutunga mauongo yenu!!
Kama hivyo ndivyo, shida yao iko wapi? Maana wasinde au washindwe haikusaidii wewe au siyo?Kususa Susa ndo unaipongeza Chadema? Huo Mbona ni ujinga pia, Chadema mbona miaka ya nyuma wakati wakiwa na mvuto Kwa wananchi walikuwa Wana shiriki chaguzi ndogo, Baadhi ya Majimbo walishinda, na pale waliposhindwa waliweza kutoa upinzani mkali kwa CCM!
Chadema ya sasa wanafahamu kabisa hawawezi kushinda uchaguzi wowote mdogo ndo maana wanajificha kwenye kususa
inashangaza ibilisi anatangaza habari za shetani 😳Maandiko matakatifu kwenye vitabu vyote vya Mungu yameandika kwa msisitizo kwamba SHETANI HAJAWAHI NA WALA HATOKUJA KUWA NA RAFIKI .
Hata hivyo kutokana na maslahi binafsi , tamaa na njaa , Wanadamu wanajifanya hawaoni mambo haya
Naipongeza sana Chadema kwa kukataa huu ujinga unaoitwa uchaguzi .
Haya ndio Zitto anaita MAMA ANAIPONYA NCHI?
View attachment 2754968