Mbarali: Kampeni ya kuifuta CCM yafika vijiji visivyofikika , Liberatus Mwang'ombe aongoza kikosi cha ufutaji

Hata kama ulimaanisha , mimi ni miongoni mwa wanajf wachache sana wanaovumilia matusi , kashfa , kejeli na hata uchawi .
kwan unashiriki mambo ya kishirikina pia mbali na siasa za mihemko na kushupaza shingo?
 
Kwahiyo CHADEMA ndo mungu?
Si bora ingekuwa hivyo! Labda wangemuomba mungu wao Bandari isigawiwe!

Hatahivyo hawa CHADEMA wanaabudu Makaburu, kuliko hata Mungu tunayemjua, manake kila wakikutana na makaburu utasikia 'tumebarikiwa'. kana vile ndio mungu wao

Mkaburu ndio Mungu wao.
 
ndoto za mchana za kina Lucas mwashamba,
Mkoa wa Mbeya CHADEMA ilishafutwa katika mioyo ya wana Mbeya.kila mtu kwa sasa anaipuuza CHADEMA na kuwaona wababaishaji tu na watu waliojikatia Tamaa ya kila kitu. Hawana uwezo wa kushindana na CCM Katika sanduku la kura
 
tena wanatakiwa wasipate hata kamtaa kamoja hao
 
Mkoa wa Mbeya CHADEMA ilishafutwa katika mioyo ya wana Mbeya.kila mtu kwa sasa anaipuuza CHADEMA na kuwaona wababaishaji tu na watu waliojikatia Tamaa ya kila kitu. Hawana uwezo wa kushindana na CCM Katika sanduku la kura
Ruhusuni basi Tume Huru ili tuthibitishe hayo!
 
kwan unashiriki mambo ya kishirikina pia mbali na siasa za mihemko na kushupaza shingo?
Kulogwa siyo kushiriki , halafu sijawahi kuhemka kwenye siasa , ningehemka hii nchi isingekuwa kama hivi ilivyo
 
Mkoa wa Mbeya CHADEMA ilishafutwa katika mioyo ya wana Mbeya.kila mtu kwa sasa anaipuuza CHADEMA na kuwaona wababaishaji tu na watu waliojikatia Tamaa ya kila kitu. Hawana uwezo wa kushindana na CCM Katika sanduku la kura
Safari hii mtabeba majeneza mangapi ?
 
Ccm ni dude kuubwa mzee baba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…