Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
Mimi si msemaji wa yeyote , ni mwandishi JFEti huyo ndo msemaji wa CHADOMO...!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi si msemaji wa yeyote , ni mwandishi JFEti huyo ndo msemaji wa CHADOMO...!!!
😀 hii mutu imechakaa mentanlly na gubu dhidi ya vyama vingine aise, na inaumia mbaya sana kikwelikweli kabisaEti huyo ndo msemaji wa CHADOMO...!!!
Umeandika uongo😀 hii mutu imechakaa mentanlly na gubu dhidi ya vyama vingine aise, na inaimia mbaya sana kikwelikweli kabisa
😀 samahani kamanda, ni jokeUmeandika uongo
Hata kama ulimaanisha , mimi ni miongoni mwa wanajf wachache sana wanaovumilia matusi , kashfa , kejeli na hata uchawi .😀 samahani kamanda, ni joke
Wacha weee !!CCM ipo sana tu bwanamdogo
Shida yako ni kuwa mbumbumbu
kwan unashiriki mambo ya kishirikina pia mbali na siasa za mihemko na kushupaza shingo?Hata kama ulimaanisha , mimi ni miongoni mwa wanajf wachache sana wanaovumilia matusi , kashfa , kejeli na hata uchawi .
Zao Lenu Gekul outWacha weee !!
Si bora ingekuwa hivyo! Labda wangemuomba mungu wao Bandari isigawiwe!Kwahiyo CHADEMA ndo mungu?
Mkoa wa Mbeya CHADEMA ilishafutwa katika mioyo ya wana Mbeya.kila mtu kwa sasa anaipuuza CHADEMA na kuwaona wababaishaji tu na watu waliojikatia Tamaa ya kila kitu. Hawana uwezo wa kushindana na CCM Katika sanduku la kurandoto za mchana za kina Lucas mwashamba,
tena wanatakiwa wasipate hata kamtaa kamoja haoMkoa wa Mbeya CHADEMA ilishafutwa katika mioyo ya wana Mbeya.kila mtu kwa sasa anaipuuza CHADEMA na kuwaona wababaishaji tu na watu waliojikatia Tamaa ya kila kitu. Hawana uwezo wa kushindana na CCM Katika sanduku la kura
Mbona hilo wanalijua tu?Naona mnajitekenya na kucheka wenyewe!
CCM NI DUDE KUBWA SANA HAMLIWEZI HILI TAASISI, MSIPOKUWA MAKINI MTAFIKA MKIWA MMECHOKA SANA.
Ruhusuni basi Tume Huru ili tuthibitishe hayo!Mkoa wa Mbeya CHADEMA ilishafutwa katika mioyo ya wana Mbeya.kila mtu kwa sasa anaipuuza CHADEMA na kuwaona wababaishaji tu na watu waliojikatia Tamaa ya kila kitu. Hawana uwezo wa kushindana na CCM Katika sanduku la kura
Kulogwa siyo kushiriki , halafu sijawahi kuhemka kwenye siasa , ningehemka hii nchi isingekuwa kama hivi ilivyokwan unashiriki mambo ya kishirikina pia mbali na siasa za mihemko na kushupaza shingo?
Safari hii mtabeba majeneza mangapi ?Mkoa wa Mbeya CHADEMA ilishafutwa katika mioyo ya wana Mbeya.kila mtu kwa sasa anaipuuza CHADEMA na kuwaona wababaishaji tu na watu waliojikatia Tamaa ya kila kitu. Hawana uwezo wa kushindana na CCM Katika sanduku la kura
Ccm ni dude kuubwa mzee baba!Hali ndio kama mnavyoiona
View attachment 2824902View attachment 2824903View attachment 2824904
Aliyekuwa mgombea Ubunge Jimbo la Mbarali kwa tiketi ya Chadema, ndugu Liberatus ameandika kwenye ukurasa wake wa instagram kuhusu wanachoendelea kukifanya huko katika kusajili wanachama kidigitali.
Ameandika "Hii ni kata ya Miyombweni, Mbarali. Unaendesha barabara ya vumbi kwa zaidi ya KM 50 kutoka barabara ya lami hadi kufika kata hii. Watu wake walikuwa waoga sana. CHADEMA tukifika walikuwa wanakimbia. Leo wanakuja wanyewe kujiandikisha CHADEMA Kidigitali.
Watu hawa wameelewa tatizo la kunyang’anywa mashamba, mifugo na kupigwa risasi na askari wa TANAPA linasababishwa na CCM. Wanaelewa kuhusu DP World pia."
View attachment 2824948
Safari hii mtaficha wapi aibu yenu baada ya kubainika wazi wazi mnatafuna pesa za chama kama zile za join the chain?Safari hii mtabeba majeneza mangapi ?
Mnaua wananchi na kupora mashamba yao kijinga sana , wananchi wamestukaCcm ni dude kuubwa mzee baba!