Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Uchaguzi ujao watu hawatopiga kura
Kabisa watajilalia majumbani tu
Ova
Hii ni nyara ya taifa inafaa kuachwa GombeWampeleke Wasira 'mzee wa fitna'!
Na hapa ndipo upinzani watakapopigwaUchaguzi ujao watu hawatopiga kura
Kabisa watajilalia majumbani tu
Ova
Duh !kufata watu majumbani kuwalazimisha kwenda piga kuraWatumie dfenda kama ngorongoro
Ova
Huyo Mzee ana ushawishi gani kwa watu,aendelee tu kulima Zabibu na kufuga nyuki!Mwitikio wa wananchi kwenye uzinduzi wa Ubunge jimbo la Mbarali ni ishara kwamba hali si shwari majimboni kisiasa:
Pamoja na Mhe. Waziri Mkuu mstaafu kushiriki katika uzinduzi huo na wananchi kuombwa kushiriki mwitikio ni mdogo jambo linalopelekea kamati ya siasa ya jimbo kukaa leo kwa ajili ya kuweka mikakati kizuri zaidi ya kuwashawishi watu kufika kwenye mikutano.
Hali hii naamini inatokana na wabunge waliopo kwa sasa kukataa kushirikiana na wananchi badala yake wapo mijini na familia zao wakiwa na hofu ya kutumia fedha zao kisha mwakani wakafyekwa.
Tutaelewa
umefanya vizuri kutushirikisha maoni yako humu jukwaani juu ya uchaguzi huo.Mwitikio wa wananchi kwenye uzinduzi wa Ubunge jimbo la Mbarali ni ishara kwamba hali si shwari majimboni kisiasa:
Pamoja na Mhe. Waziri Mkuu mstaafu kushiriki katika uzinduzi huo na wananchi kuombwa kushiriki mwitikio ni mdogo jambo linalopelekea kamati ya siasa ya jimbo kukaa leo kwa ajili ya kuweka mikakati kizuri zaidi ya kuwashawishi watu kufika kwenye mikutano.
Hali hii naamini inatokana na wabunge waliopo kwa sasa kukataa kushirikiana na wananchi badala yake wapo mijini na familia zao wakiwa na hofu ya kutumia fedha zao kisha mwakani wakafyekwa.
Tutaelewa
si useme tu sie ni ndugu zako kua umekwama na uko mpweke na huwezi endelea zaidi ya hapo tuone namna tunaweza fanya jamboHii nchi imeshakwama - hatuwezi tena endelea zaidi ya hapa . Lambda JPM afufuke upya.
Wananchi wako wapweke mno.
Hii nchi imeshakwama - hatuwezi tena endelea zaidi ya hapa . Lambda JPM afufuke upya.
Unataka kuona mafuriko?Picha ya mahudhurio
Mwitikio wa wananchi kwenye uzinduzi wa Ubunge jimbo la Mbarali ni ishara kwamba hali si shwari majimboni kisiasa: