Mbarali wamegoma kumsupport Mizengo Pinda uzinduzi wa kampeni za Ubunge

Picha please vinginevyo hii ni uchawi.
Iwapo CDM hawashiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi ni ngumu uchaguzi kuwa na mvuto. Ukweli ni kuwa CCM huwa haina mvuto maana sio ya kizazi cha sasa, na hizi hujuma wanazofanyia chama chenye mvuto, ndio zinazochangia watu kupuuza huo uhuni uitwao uchaguzi. Hakuna uwezekano huo uchaguzi kufikisha wapiga kura 1,000.
 
Sahihi
 
Mwitikio wa wananchi kwenye uzinduzi wa Ubunge jimbo la Mbarali ni ishara kwamba hali si shwari majimboni kisiasa:

Pamoja na Mhe. Waziri Mkuu mstaafu kushiriki katika uzinduzi huo na wananchi kuombwa kushiriki mwitikio ni mdogo jambo linalopelekea kamati ya siasa ya jimbo kukaa leo kwa ajili ya kuweka mikakati kizuri zaidi ya kuwashawishi watu kufika kwenye mikutano.

Hali hii naamini inatokana na wabunge waliopo kwa sasa kukataa kushirikiana na wananchi badala yake wapo mijini na familia zao wakiwa na hofu ya kutumia fedha zao kisha mwakani wakafyekwa.

Tutaelewa
JamiiForums-2082348249.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwitikio wa wananchi kwenye uzinduzi wa Ubunge jimbo la Mbarali ni ishara kwamba hali si shwari majimboni kisiasa:

Pamoja na Mhe. Waziri Mkuu mstaafu kushiriki katika uzinduzi huo na wananchi kuombwa kushiriki mwitikio ni mdogo jambo linalopelekea kamati ya siasa ya jimbo kukaa leo kwa ajili ya kuweka mikakati kizuri zaidi ya kuwashawishi watu kufika kwenye mikutano.

Hali hii naamini inatokana na wabunge waliopo kwa sasa kukataa kushirikiana na wananchi badala yake wapo mijini na familia zao wakiwa na hofu ya kutumia fedha zao kisha mwakani wakafyekwa.

Tutaelewa
Nabado ccm itasuswa nchi bzima sio mbarali,kwenda kwenye mkutana wa ccm itabidi waingie mkataba na watu kwa laki moja kila nkutano gharama za usafiri na chakula kila mkutano moja watapaswa kutoa laki na nusu sehemu nyungine 200,000
 
Mwitikio wa wananchi kwenye uzinduzi wa Ubunge jimbo la Mbarali ni ishara kwamba hali si shwari majimboni kisiasa:

Pamoja na Mhe. Waziri Mkuu mstaafu kushiriki katika uzinduzi huo na wananchi kuombwa kushiriki mwitikio ni mdogo jambo linalopelekea kamati ya siasa ya jimbo kukaa leo kwa ajili ya kuweka mikakati kizuri zaidi ya kuwashawishi watu kufika kwenye mikutano.

Hali hii naamini inatokana na wabunge waliopo kwa sasa kukataa kushirikiana na wananchi badala yake wapo mijini na familia zao wakiwa na hofu ya kutumia fedha zao kisha mwakani wakafyekwa.

Tutaelewa
Jana CCM waliwachukua vijana toka Uyole na Mwanjelwa kwenda kujaza uwanja, bahati mbaya wengi wao hawajatimiza umri wa kupiga kura. Vijana hawa ni wale wenye fulana za kijani na wengine nyeupe zenye picha ya Samia na maandishi mgongoni.
Hata hivyo CCM ilikwisha sema hauwezi kuishinda kwa vikaratasi vya kwenye sanduku, watajimegea bonge lililonona.
 
Back
Top Bottom