Mbarali wamegoma kumsupport Mizengo Pinda uzinduzi wa kampeni za Ubunge


Hii nimeisikia kwa wabunge wengi….hasa waliopitishwa na Magufuli kinyemela hawahangaiki kabisa kufanya mikutano na hii inachangia Sana kumyumbisha Rais kisiasa kwa kuwa watu aliotegemea kuwa watakua wanamsemea wameamua kula pesa za ubunge tu bila kuwekeza kwa wananchi hasa wengi ambao wanajua hawawezi kushinda
 
Pinda amepitwa mno na Wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…