Mbaroni kwa kujaribu kuchoma shule ya kiislamu

Kama kwenda kusoma chuo cha dini ni ujinga basi watafutie shule ya mashoga ambao nyie wa upande wa wazungu mumeuuunga mkono na kudiriki makanisa kufungisha kuhalalisha na kufungisha hizo ndoa za jinsia mojaUjinga
Ebu acha kujitoa ufahamu kwahiyo unawatetea hao wanaotuhumiwa kuiba simu na kuchoma bwalo ili waondoke na simu au hujaelewa niliowasema walienda kusomea ujinga.

Yani watu wanatuhumiwa kuiba na kuchoma jengo wewe unatetea walienda kusoma dini, dini gani inaruhusu uhalifu.
 
Hizi porojo zitakutoa kamasi tu mdogo wangu, toa hela unakwarua kirahisi tu.

Kuna wazee wa migodi, hawagongagi hodi... we jifanye unafuga unachunga ila wao ndo wanalipa kodi.

I moved your cheese, so what!
Na huyu ndo mmoja kati ya wavaa vinyeramumo.
 
Wow! So wonderful no way i'm in¿😍
 
Hao nao eti wamewasha moto jengo liungue ili chuo kifungwe waondoke na simu.

Hawa sasa ndio walioenda kusomea ujinga kama FF anavyodai.
Hayo maelezo ya mwanzo ni 'fix'.
Kwa kuwa polisi wana taaluma ya uchunguzi na upelelezi, hapo wakikazia na kuzama zaidi, wataupeta ukweli uliojificha nyuma ya pazia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…