Mbaroni kwa kumkamata, kumshambulia na kusambaza picha za utupu za waliyemfumania

Mbaroni kwa kumkamata, kumshambulia na kusambaza picha za utupu za waliyemfumania

Ifike kipindi serikali iamini kwamba bangi ina madhara....!!!! Unamzalisha mwanamke watoto watatu au zaidi and then unamwacha....!!! Anapo hangaika kukulelea watoto ulio mtelekezea anakutana na mwanaume anaye tokea kumjali na kumthamini, halafu unamuundia tume ya kumshika ugoni una akili wewe.....!!!!!?
 
Hao mashabiki wasiokuwa na akili, wanyee debe kwanza miaka mi3, kisha ndiyo kesi isikilizwe. Wendawazimu unashabikiaje hadi kumsindikiza mwanaume mwenzako kwenda kufumania??

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Hata mtoto. Akiwa tumboni ni wako ila akizaliwa siyo wako tena

anhaaa...

kumbe akiwa tumboni kabla hajazaliwa ni wako, unaweza kumu aborti, kumnywesha masumu ya kumtia vilema, kusokota tumbonkumnyiga, chochote kile...

sikulijua hilo
 
Kuna hawa wanajiita kundi maalum kwa ajili ya kufanya mafumanizi hasa kwa wale walioachana na wapenzi wao na wanafanya kukodi hawa watu kwa ajili tu ya kumkomoa Ex wake mi nadhani hawa ndio wa kudeal nao......
 
Back
Top Bottom