Mbaroni kwa kumpiga risasi ya paja mtu aliyetaka kumshambulia kwa shoka

Hahaha
 
🤣🤣🤣🤣 Dah
 
Sheria zetu za kipumbavu sana
 
Watu wa sheria watusaidie hapo. Si upumbavu huu. Sheria ni fani fulani sometime ya kipuuzi sana.
 
Hivi umejiuliza kuwa anapaswa kuilinda hiyo silaha zaidi ya uvamizi wowote unaoweza kujitokeza ukasababisha aporwe hiyo silaha?

Vipi kama James angeporwa hiyo silaha na kupkupigwa hilo shaka kichwani ungesema namna hii?.

James kasimamia vizuri mafunzo yake kayatendea haki haujasikia kama wale wengine wanasema kapigwa risasi ya mguu na kufariki wakati alipotaka kuwajeruhi "wapambanaji" aliokuwanao huyo muhalifu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…