Mbaroni kwa kuwalawiti watoto wake wa kiume wawili

Mbaroni kwa kuwalawiti watoto wake wa kiume wawili

Jeshi la polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Abel John mkazi wa Kata ya Ngokolo katika Manispaa ya Shinyanga kwa tuhuma za kuwalawiti watoto wake wa kiume wawili baada ya kuachana na mkewe.
Afanywe kitu mbaya nae asisahau maisha yake
 
Watoto wako wa kiume...
Wawili
Unawalawiti🥺🥺🥺🥺.
Jamani!!! Jamani!!!
Hata ulaya wanaporuhusu hii story bado haijatokea aisee..
 
Sasa huyu nae tutasema alisoma vitabu vilivyopigwa marufuku mashuleni au labda aliiga utamaduni wa kimagharibi akaona wazazi wakiwalawiti watoto wao?
 
Jeshi la polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Abel John mkazi wa Kata ya Ngokolo katika Manispaa ya Shinyanga kwa tuhuma za kuwalawiti watoto wake wa kiume wawili baada ya kuachana na mkewe.
Hii dunia kila kukicha inazidi kuvaa sketi, kuna laana za kila namna, Mungu atusaidie kwakweli
 
Kabla ya yote nayeye alawitiwe kwanza alaf ndio kesi ianze kusomwa
 
Back
Top Bottom