Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Inaleta kichefu chefu hata tu kule kuisoma post hii!Jeshi la polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Abel John mkazi wa Kata ya Ngokolo katika Manispaa ya Shinyanga kwa tuhuma za kuwalawiti watoto wake wa kiume wawili baada ya kuachana na mkewe.
Ptuu!