Afanywe kitu mbaya nae asisahau maisha yakeJeshi la polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Abel John mkazi wa Kata ya Ngokolo katika Manispaa ya Shinyanga kwa tuhuma za kuwalawiti watoto wake wa kiume wawili baada ya kuachana na mkewe.
Shinyanga hawaishi wasukuma peke yao.Wasukuma wamekuja kuwaje nao 🥹
Usikariri , sio kila mkazi wa Shinyanga ni Msukuma.Wasukuma wamekuja kuwaje nao 🥹
Hii dunia kila kukicha inazidi kuvaa sketi, kuna laana za kila namna, Mungu atusaidie kwakweliJeshi la polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Abel John mkazi wa Kata ya Ngokolo katika Manispaa ya Shinyanga kwa tuhuma za kuwalawiti watoto wake wa kiume wawili baada ya kuachana na mkewe.
Mkatoliki huyuAbel John ...