Mbaroni kwa kuwalawiti watoto wake wa kiume wawili

Jeshi la polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Abel John mkazi wa Kata ya Ngokolo katika Manispaa ya Shinyanga kwa tuhuma za kuwalawiti watoto wake wa kiume wawili baada ya kuachana na mkewe.
Inaleta kichefu chefu hata tu kule kuisoma post hii!
Ptuu!
 
Baada ya kuaachana na mke wake ??
[emoji848]

Isije ikawa jamaa kagundua alilea watoto kumbe si wake,kaamua kufanya unyama huo

Nimewaza tu

Ova
 
Angelikua anatokea Zanzibar uzi usingelitosha huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…