mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
huyo alikuwa mdangaji ndio maanaDemu anatoa mimba ya miezi sita huku mfukoni ana laki sita duh..
Laki sita inatosha kabisa kuanza malezi ya mtoto hata kama baba kamkataa..
Ndio mana kafa akili hana
Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
Wewe unatoaga miezi mingapi?Miezi 6 unatoaje kienyeji hivyo? Achilia mbali kutoa mimba tu ni kosa kisheria na kwa Mungu pia.
anazuga tumuone yeye msafi eti wakati hamna kitu hapoUna uhakika Wewe katika historia yakO nzima ya Kimaisha haujawahii Kuua Kilazima ( Kutoa Mimba ) hivyo au unataka 'Kutuzuga' tu Sisi hapa JF?
Mkuu, sayansi na haya mambo ya mungu mungu hayajawahi kukubalianaBIG NO.Ndugu yangu Kamdudu,mimi nimekuwa Mwenyekiti wa Pro life kwa miaka miwili,Watu wengi waliokuwa na mawazo km ya kwako tulikuwa tunawasahihisha;Kwa taarifa yako mtu anahesabika tangu saa ile mimba inatungwa,niulize kwanini; Sababu ni kuwa Mungu anakuwa ameweka pumzi yake ya uhai on the Sport mimba inapotungwa.Thus why Mungu mwenyewe anasema alitujua kabla ya kutungwa mimba,tukiwa tunatungwa mimba ktk matumbo ya mama zetu,yeye alishatujua,rejea Yeremia 1:5.Hivyo Binadamu huanza kuhesabika tangu mimba inapotungwa.
Miezi 6 unatoaje kienyeji hivyo? Achilia mbali kutoa mimba tu ni kosa kisheria na kwa Mungu pia.
mungu?,huyo mimi simjui,ninayejua mimi ni Mungu tu..Mkuu, sayansi na haya mambo ya mungu mungu hayajawahi kukubaliana
Miezi 6 mbona michacheMiezi 6 unatoaje kienyeji hivyo? Achilia mbali kutoa mimba tu ni kosa kisheria na kwa Mungu pia.
Sayansi inakudanganyakawaida mimba hua kiumbe hai baada ya siku 120 ...
kwa hio ukitoa mimba baada ya siku 120 umeua mtu ambaye yuko hai ila ukitoa kabla ya hapo hatuwezi kusema umeua.
Ngoja aww dada yako ndo umuombee afe au umtie mwanafunzi mimba kama hutampelekea hela ya kutoa mimba omba yasikukutehata mi hua namuomba Mungu demu akitoa mimba na yeye afe hapo hapo ...
Hakuna wakati sahihi wa kutoa mimbaKwa uzoefu wako[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]upi ni wakati sahihi kutoa mimba sasa kama sio miezi sita tupe uzoefu mnatoa wakati gani?
Sayansi inakudanganya
Mimba zimekiwepo hata kabla ya ujio wa hiyo sayansi yako
Ngoja aww dada yako ndo umuombee afe au umtie mwanafunzi mimba kama hutampelekea hela ya kutoa mimba omba yasikukute
Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
Kiimani sawa lakini kibaolojia si sawa.BIG NO.Ndugu yangu Kamdudu,mimi nimekuwa Mwenyekiti wa Pro life kwa miaka miwili,Watu wengi waliokuwa na mawazo km ya kwako tulikuwa tunawasahihisha;Kwa taarifa yako mtu anahesabika tangu saa ile mimba inatungwa,niulize kwanini; Sababu ni kuwa Mungu anakuwa ameweka pumzi yake ya uhai on the Sport mimba inapotungwa.Thus why Mungu mwenyewe anasema alitujua kabla ya kutungwa mimba,tukiwa tunatungwa mimba ktk matumbo ya mama zetu,yeye alishatujua,rejea Yeremia 1:5.Hivyo Binadamu huanza kuhesabika tangu mimba inapotungwa.
Kwa hiyo wewe unafuata ipi?Kiimani sawa lakini kibaolojia si sawa.
Mpaka sasa Wewe Umeua Kilazima ( Umetoa Mimba ) hivyo mara ngapi Mkuu? Manake kwa 'Utetezi' wako huu unaonyesha ni 'Mbobezi' kwa Kutoa.kawaida mimba hua kiumbe hai baada ya siku 120 ...
kwa hio ukitoa mimba baada ya siku 120 umeua mtu ambaye yuko hai ila ukitoa kabla ya hapo hatuwezi kusema umeua.
Kila kitu ni imani! Ila sayansi inatoa majibu yaliyo practical zaidi kuliko imani za dini ambazo majibu yake yako kiimani zaidi (kuthibitisha ni ngumu).
Mpaka sasa Wewe Umeua Kilazima ( Umetoa Mimba ) hivyo mara ngapi Mkuu? Manake kwa 'Utetezi' wako huu unaonyesha ni 'Mbobezi' kwa Kutoa.
'Usinifokee' tafadhali!ndugu mimi sijasema watu watoe mimba ndio maana katika comment iliyotangulia nimesema hua naomba demu akitoa mimba naye afe hapo hapo !
ila mimba inaweza kutolewa ikiwa mwanamke ataambiwa na daktari mzoefu na aliyebobea katika taaluma ya kizazi na awe mcha Mngu kuwa kuendelea kubeba mimba hiyo itakuwa ni hatari kwa mama.
kwa hio usininukuu vibaya ...