kamdudu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2015
- 2,007
- 1,931
'Usinifokee' tafadhali!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
'Usinifokee' tafadhali!
Mkuu kisayansi mtt anakuwa hai baada ya miezi minne...BIG NO.Ndugu yangu Kamdudu,mimi nimekuwa Mwenyekiti wa Pro life kwa miaka miwili,Watu wengi waliokuwa na mawazo km ya kwako tulikuwa tunawasahihisha;Kwa taarifa yako mtu anahesabika tangu saa ile mimba inatungwa,niulize kwanini; Sababu ni kuwa Mungu anakuwa ameweka pumzi yake ya uhai on the Sport mimba inapotungwa.Thus why Mungu mwenyewe anasema alitujua kabla ya kutungwa mimba,tukiwa tunatungwa mimba ktk matumbo ya mama zetu,yeye alishatujua,rejea Yeremia 1:5.Hivyo Binadamu huanza kuhesabika tangu mimba inapotungwa.
Unaenda wapntarudi
Your baby's heart starts beating about 22 days after she's conceived, but the earliest you'd be able to spot it onscreen is five weeks after your last period (although many moms-to-be don't see the doctor until they're a bit farther along in their pregnanciesMkuu kisayansi mtt anakuwa hai baada ya miezi minne...
Sayansi ni mpango Shetani kuharibu dunia.Hivyo tunafuata sauti ya Mungu,hiyo sayansi tupa kule.Mkuu kisayansi mtt anakuwa hai baada ya miezi minne...
Mkuu sayansi pia kuna vitu inadanganya,msikilize Mungu utapata baraka maishani mwako.Kutoa mimba ni dhambi kubwa regardless umri wake,ikishatumgwa tu tayari pumzi ya Mungu ya uhai inakuwa imekiingia hicho kiumbeKila kitu ni imani! Ila sayansi inatoa majibu yaliyo practical zaidi kuliko imani za dini ambazo majibu yake yako kiimani zaidi (kuthibitisha ni ngumu).
Kwa hiyo wewe Kamdudu,huko kwenye Uislamu mnaruhusiwa kutoa mimba ikiwa changa?.Naomba unijibu NDIYO au HAPANA.Halafu ndo tuanzie hapo.mi nimeongea kwa mjibu wa maneno yake mwenyewe Mwenyezi Mungu sijatoa kichwani mwangu !
qur'an 23:14. Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji
hayo maneno niliyoongea mimi hapo juu ni ufafanuzi Mtume Muhammad s.a.w akifafanua aya hizo hapo juu.
ulishawahi kujiuliza kwa nini mama mjamzito anaanza clinic baada ya miezi 4 ya ujauzito ????
endelea kufuatilia haya mambo utajua zaidi
Yai likisha rutubishwa bado linakuwa ktk hali ya "cell" (a morulla) which is zygote. Ili kiwe full kiumbe, ni baada ya wiki kadhaa (4 weeks), ndipo kitakuwa na organs zote za mwili.Mkuu sayansi pia kuna vitu inadanganya,msikilize Mungu utapata baraka maishani mwako.Kutoa mimba ni dhambi kubwa regardless umri wake,ikishatumgwa tu tayari pumzi ya Mungu ya uhai inakuwa imekiingia hicho kiumbe
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Hebu tupe ufundi wa namna ya kuzitoa hizo za miezi 6+ unafanyaje mtaalamu wetu wa kitengo hicho?Huyu demu ameshatoa mimba sana ndio maana ana uzoefu uliotukuka na sasa huenda hana kizazi
Hiyo ni sayansi,lkn Mungu hasemi hivyo.Sasa wewe isikilize sayansi, mimi ninamsikiliza Mungu.Yai likisha rutubishwa bado linakuwa ktk hali ya "cell" (a morulla) which is zygote. Ili kiwe full kiumbe, ni baada ya wiki kadhaa (4 weeks), ndipo kitakuwa na organs zote za mwili.
Cell ==> tissues ==> organs ==> systems ==> organism.
Ivi ukiugua kwa mfano; ili kupata tiba, huwa unakwenda kanisani/mskitini au hospital?Hiyo ni sayansi,lkn Mungu hasemi hivyo.Sasa wewe isikilize sayansi, mimi ninamsikiliza Mungu.
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo wewe Kamdudu,huko kwenye Uislamu mnaruhusiwa kutoa mimba ikiwa changa?.Naomba unijibu NDIYO au HAPANA.Halafu ndo tuanzie hapo.
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Sasa wewe upo upande upi?.Ikiwa Msahafu hauruhusu huo mchezo,lkn wewe unatumia msahafu kusapoti uovu.Hebu funguka Shekhe.hapana
Mbona unachanganya mada?!!!.Kuhusu kuugua hiyo ni obvious hata maandiko yanatueleza juu ya kazi ya tabibu,lkn usitumie kigezo hicho kusapoti evil things zinazofanywa na wataalamu wa afya au wanasayansi kwa ujumla wake.Ivi ukiugua kwa mfano; ili kupata tiba, huwa unakwenda kanisani/mskitini au hospital?
Sasa wewe upo upande upi?.Ikiwa Msahafu hauruhusu huo mchezo,lkn wewe unatumia msahafu kusapoti uovu.Hebu funguka Shekhe.
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Najaribu ku-defend hoja yangu ya msingi. Madawa yote ya hospital yalifanyiwa kwanza uchunguzi (practical) kisha baada ya matokeo chanya ndipo zimesambazwa mahospitalini. Vifaa tiba vyote vilikwisha fanyiwa kwanza experiments.Mbona unachanganya mada?!!!.Kuhusu kuugua hiyo ni obvious hata maandiko yanatueleza juu ya kazi ya tabibu,lkn usitumie kigezo hicho kusapoti evil things zinazofanywa na wataalamu wa afya au wanasayansi kwa ujumla wake.
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Matatizo yanayohusiana na Material things,but Mungu ndiye Jibu sahihi na la uhakika kwa Matatizo ya Kimwili na Kiroho.Hata hao wanasayansi bila Mungu hawawezi kitu.Najaribu ku-defend hoja yangu ya msingi. Madawa yote ya hospital yalifanyiwa kwanza uchunguzi (practical) kisha baada ya matokeo chanya ndipo zimesambazwa mahospitalini. Vifaa tiba vyote vilikwisha fanyiwa kwanza experiments.
Hivyo, sayanyi ni jawabu la matatizo yako.
Mkuu nimekusoma,naomba niendelee kukudodosa;Kwa hiyo ktk Uislamu wana ndoa wanaruhusiwa kutoa mimba?hebu anza mwanzo wa topic kabla ya yote nimeandika hv: hua namuomba Mungu demu akitoa mimba na yeye afe hapo hapo
mi sijasapoti watu watoe mimba kwanza mimba zenyewe za zinaa na Mwenyezi Mungu amekataza zinaa.
Yaani hapa tunazungumzia mimba ila mimba hizo ni matokeo ya zinaa na zinaa ni uchafu na ni njia mbaya anasema Mwenyezi Mungu.
ila kwa wenye ndoa hua kuna dharula za kutoa ujauzito kama unahatalisha maisha ya mama na daktari amethibitisha hilo na hauhesabiwi umeua ndio nachozungumzia mimi.
hao wazinzi na uchafu wao na mimba zao haramu watajua wenyewe
nadhani umenisoma