nash queen
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 219
- 221
Umeona e ukute wenzie walikuwa wanakulana siku nyingi kwa Siri kubwaYaani mbasha utadhani hawajui Wanaume.....eti anaapa Kuswekwa hajawahi kuingia kwenye anga zake.......
Namcheka kwa dharau
Nimekuelewa binti
Asonge mbeleWashauri wa huyo Mbasha wangemshauri atulie, aachane na mambo yaliyopita, maisha yaendelee.
Mbasha siyo mchaga ni Mnyisanzu wa SingidaHuyu jamaa anatapa tapa sana,anawadharirisha wachaga wa kiume