Mbasha: Aliyemuoa Flora nampelekea ujumbe huu

Mbasha: Aliyemuoa Flora nampelekea ujumbe huu

Anyamaze tu halafu apunguze kuover wear bwana anavaa manguo ya njano kila SAA suti mpaka inakuwa kama ulimbukeni Wa wakongo mimi nachukia mwanaume akae kama mwanaume mimi ni team diamond kufa ila k.ukwel napenda sana kiba anavyovaa kiba anajua kuvaa havai yeboyebo havai manguo ya kuwaka kila saa njoo ukutane na kina mc pilipili,mbasha hahaaa ukikutana nao utakimbia manguo mekundu njano mwanaume gentlemen haipendezi looo
 
Mbasha amesema kijana aliyemuoa flora hana tatizo naye na alikua hamjui na wala hajawahi kumletea matatizo ila aliyemletea tatizo ni jamaa mmoja ambaye watanzania wote wanamfahamu.
Pia amesemapia flora alimuoa akiwa mama wa nyumbani na kumfanya afahamike na Tanzania na dunia ila alimuacha kwa sababu anazozijua yeye ila alikuwa na fedha za kutosha


Mbasha aache ufala
 
Fikiria mapenzi ya tetea na jogoo
Halafu mbwa jike na mbwa dume......
Between tetea kiboko ana multipurpose exit! Mapenzi uzazi haja kubwa haja ndogo na Pengine romance hapohapo [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
[emoji38][emoji38][emoji15][emoji15][emoji15][emoji35][emoji35][emoji134]
 
Jamaa na yeye nasikia ana chombo kipya..Basi abaki njia kuu..story za ex wake azikaushie
 
Angenyamaza ingempa heshima sana kuliko kwenda kwenye media anatafuta nini huko Kama sikujishushia heshima yake tu
 
Kuna maisha zaidi ya haya ya duniani Ajuza huyu Flora bila chenga kabofoa kwani hakunaga ndoa 2 kwa sisi Wakristo hadi kifo kiwatenganishe.
Na hii ni kufurahishana kujiliwazana tu kingonolist na kwa Wana wa Adam waliopotoka,licha ya kumkira(Kumharibu) kijana ni aibu kwa familia zote 2 kutokuwa na maadili waziwazi ambayo yameambukiza watoto wote.
Hata kama ni umasikini na ushawishi wa pesa kwa maana ni ndicho kinachoonekana hapa hakuna mapenzi na mzazi wako kwani Flora anaweza kuwa kama mama mzazi wa so called David 24-38 hawaendani kabisa na watu waache ulemavu wa akili kwamaana ni ulemavu wa akili kusema eti mapenzi hayachagui ni kujiliwaza kilemavu.
Hakika binafsi ni aibu utaanze kimvua pichu mtu mzima,ajuza almost ua momy ilikhali vyura wamejaa hadi maji ni madogo wanakufia nchi kavu kwa kukosa maji yenye Oxygen??
Very shame Guys..take a kesson to all not to follow a prostitute way like that,then ua encouraging uaself that is so called hell love.STOP and watch out all PERIOD!!!
 
Washauri wa huyo Mbasha wangemshauri atulie, aachane na mambo yaliyopita, maisha yaendelee.
Mbasha kaulizwa ktk interview..kajibu. kosa lake nini? Nadhani point yako ingeleta mantiki sana endapo angeanza kuongea mwenyewe
 
Na anatafuta kiki sasa hivi, kupitia huyo huyo aliyemfanya afahamike.

Flora amesaidia kuwapa wanawake michuma matumaini, na kuonyesha wasisubirie waliowazidi bali waangalie walio na umri mdogo. Wapate unono moto moto, wa umri karibu sawa na wazee wajikalie hukooo.

Dogo dogo mchangamke, mdekezwe.
Na mimi nataka kujiweka kwako nidekezwe,,,nimpindue bashite
 
Back
Top Bottom