Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Ema Mmbasha pole sana kwa kuvunjwa moyo Na uliyempenda. Najua inavyouma! Ila kaza moyo kaa kimya huku ukiomba Mungu. Wako watu walilia baada ya kukataliwa lakini kumbe Mungu aliwasave mengi. Wewe ni Handsome wasichana Masingle, divorced, broken heart wako Lukuki. Utajipatia Na utasahau Maumivu yako. Let her free with her new Life. Start afresh utasimama tena. Usiache kuomba na Utumishi wako kwa Mungu uendelee.
Hapo sijakuelewa vizuri unapomwambia yeye ni Handsome unamaana gani? Kwamba Kwa kuwa handsome ndo iwe Kama mtaji kwake kuwapata wanawake wa mjini? U -handsome ? Mwanaume hasifiwi sura asikwambie Mtu! Imeandikwa "fedha ni jawabu la mambo yote" samahani Kwa kuyanena hayo!