Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,039
- 2,840
Ema Mmbasha pole sana kwa kuvunjwa moyo Na uliyempenda. Najua inavyouma! Ila kaza moyo kaa kimya huku ukiomba Mungu. Wako watu walilia baada ya kukataliwa lakini kumbe Mungu aliwasave mengi. Wewe ni Handsome wasichana Masingle, divorced, broken heart wako Lukuki. Utajipatia Na utasahau Maumivu yako. Let her free with her new Life. Start afresh utasimama tena. Usiache kuomba na Utumishi wako kwa Mungu uendelee.