miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
no nono😀
Tufanye exchange of goods with goods kama kwenye historia ya form one 🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
no nono😀
Tufanye exchange of goods with goods kama kwenye historia ya form one 🙂
Yupi hajamwonaMbasha angetafuta mdhaifu mwenzake halafu aoe, kwa sasa anafanya ujinga tu
no nono
mimi unanipanua wakati yako haibadilikiMiss chagga, plz si kila mmoja ana vifaa vinavyo mhitaji mwingine jamani.
Come on, Miss Chagga 🙂🙂🙂🙂😀
Kwani mbasha anasoma jf nilitaka kumkumbsha jambo
Mbasha amesema kijana aliyemuoa flora hana tatizo naye na alikua hamjui na wala hajawahi kumletea matatizo ila aliyemletea tatizo ni jamaa mmoja ambaye watanzania wote wanamfahamu.
Pia amesemapia flora alimuoa akiwa mama wa nyumbani na kumfanya afahamike na Tanzania na dunia ila alimuacha kwa sababu anazozijua yeye ila alikuwa na fedha za kutosha
mimi unanipanua wakati yako haibadiliki
haipo hiyoAiseeeh,
Haaa haaaaa haaaa, no plz I won't enlarge it ! 🙂😛😀
[emoji1] [emoji1] [emoji1] na pesa natakaMiss chaga ana miguu mwembamba. Hana jicho hana makario kama alivyo frola
Inatakiwa kunyamaza!Ingekuwa mimi ndie Mbasha ningenyamaza kimya
haipo hiyo
True madame. Akae kimya maisha yasonge mbele. Warembo mpo wengi.mbasha kaa kimya tu usijeonekana mfa maji
huh.....hivi viingereza!!..ama kweli the Heart wants what it wants..
haipo hiyo