Mbasha: Aliyemuoa Flora nampelekea ujumbe huu

Mbasha: Aliyemuoa Flora nampelekea ujumbe huu

Kwani mbasha anasoma jf nilitaka kumkumbsha jambo
 
Mbasha angetafuta mdhaifu mwenzake halafu aoe, kwa sasa anafanya ujinga tu
 
Kwani mbasha anasoma jf nilitaka kumkumbsha jambo

Wakati huu hadi shuka lake ni JF, wewe tema madini hapa.

Labda Mbasha mwenyewe ndiye kaleta huu uzi na ID fake. 🙂🙂🙂🙂😀😀😀
 
Mbasha amesema kijana aliyemuoa flora hana tatizo naye na alikua hamjui na wala hajawahi kumletea matatizo ila aliyemletea tatizo ni jamaa mmoja ambaye watanzania wote wanamfahamu.
Pia amesemapia flora alimuoa akiwa mama wa nyumbani na kumfanya afahamike na Tanzania na dunia ila alimuacha kwa sababu anazozijua yeye ila alikuwa na fedha za kutosha


Ujumbe upi sasa mbona hujausema!
 
Miss chaga ana miguu mwembamba. Hana jicho hana makario kama alivyo frola
 
Back
Top Bottom