Mbasha: Aliyemuoa Flora nampelekea ujumbe huu

Mbasha: Aliyemuoa Flora nampelekea ujumbe huu

Ema Mmbasha pole sana kwa kuvunjwa moyo Na uliyempenda. Najua inavyouma! Ila kaza moyo kaa kimya huku ukiomba Mungu. Wako watu walilia baada ya kukataliwa lakini kumbe Mungu aliwasave mengi. Wewe ni Handsome wasichana Masingle, divorced, broken heart wako Lukuki. Utajipatia Na utasahau Maumivu yako. Let her free with her new Life. Start afresh utasimama tena. Usiache kuomba na Utumishi wako kwa Mungu uendelee.

Hapo sijakuelewa vizuri unapomwambia yeye ni Handsome unamaana gani? Kwamba Kwa kuwa handsome ndo iwe Kama mtaji kwake kuwapata wanawake wa mjini? U -handsome ? Mwanaume hasifiwi sura asikwambie Mtu! Imeandikwa "fedha ni jawabu la mambo yote" samahani Kwa kuyanena hayo!
 
Hivi ni nani huyo aliyemhalibia ndoa yake?

Aliyesema ana vyeti original vya shule vya watanzania wote🙂🙂🙂🙂😀😀😀😀.

Hatajwi, ukimtaja tu, hutasameheka miaka zaidi ya 1000 ijayo na utachanwa ofisisini kwake na washabiki zake wakishangilia.

Kama, unataka kujua, ulizia jirani yako hapo, mtu ambaye anavyeti orijino vya wanafunzi, utapata Jibu Ila Jibu liwe siri yako.

Ask or research who is the person but remember this " Just Do It, at Your Own Risk" 😵

Jiulize ni Kwa nini hata humu hawamtaji jina lake hadi Mr. Mbasha hajamtaja. Ni hatari zaidi ya ukoma aiseee.
 
Aliyesema ana vyeti original vya shule vya watanzania wote🙂🙂🙂🙂😀😀😀😀.

Hatajwi, ukimtaja tu, hutasameheka miaka zaidi ya 1000 ijayo na utachanwa ofisisini kwake na washabiki zake wakishangilia.

Kama, unataka kujua, ulizia jirani yako hapo, mtu ambaye anavyeti orijino vya wanafunzi, utapata Jibu Ila Jibu liwe siri yako.

Ask or research who is the person but remember this " Just Do It, at Your Own Risk" 😵
Mmmh!! Bado nipo njia panda bora ufunguke mazima mkuu?!
 
Mr. E. Mbasha, anasema Flora, alikuwa bonge la used kabla ya yeye kumuoa, aiseeeeeh!!

Eeeeh Mwenyezi Mungu, rehemu dini na wanadini zako.
 
Mmmh!! Bado nipo njia panda bora ufunguke mazima mkuu?!

Weeeeeeeee, nitakuwa sijipendi eeeeh, nimekwambia yule jamaa hasamehi hadi miaka 1000 na zaidi.

Miss Chagga, njoo huku umsaidie huyu joseph jjj. Jina la Aliye haribu ndoa ya Mr . E. Mbasha.
 
Hapo sijakuelewa vizuri unapomwambia yeye ni Handsome unamaana gani? Kwamba Kwa kuwa handsome ndo iwe Kama mtaji kwake kuwapata wanawake wa mjini? U -handsome ? Mwanaume hasifiwi sura asikwambie Mtu! Imeandikwa "fedha ni jawabu la mambo yote" samahani Kwa kuyanena hayo!
Ingekua ni pesa,wanawake wote wangeolewa na matajiri,mbona mama yako aliolewa na baba yako bila kua na mipesa?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] na pesa nataka

Picha Basi ili nione ,,, kabla ya hela kutumwa.
Hata pm tu nikuone maana, nasikia Miss chagga ni mlimbwende ni hakuna kifani !!.
Utomaso wa kwenye biblia unanisumbua hadi nione kwa picha.
🙂🙂😀😀😛😛😛😛
 
Picha Basi ili nione ,,, kabla ya hela kutumwa.
Hata pm tu nikuone maana, nasikia Miss chagga ni mlimbwende ni hakuna kifani !!.
Utomaso wa kwenye biblia unanisumbua hadi nione kwa picha.
🙂🙂😀😀😛😛😛😛
utakosa vingi na utomaso wako
 
utakosa vingi na utomaso wako

Haaa haaa Haaa haaaa

Ujue, Miss chagga, hizi id fake isijekuwa wewe ni dada, mama au shangazi hata mke wa brother au mjomba 🙂😀😀😀

Kwa hiyo, tuokoe majanga plz picha basii ihusike kuokoa jahazi lisije zama n'a vilivyomo 😀😀
 
Ingekua ni pesa,wanawake wote wangeolewa na matajiri,mbona mama yako aliolewa na baba yako bila kua na mipesa?

Pesa, inahusika sana, hata kama hauna leo, mwanamke anaweza akakusoma mawazo n'a vitendo vyako akaelewa kuwa huyu mtu labda baada ya miaka 2-5 anaweza pata pesa.

Hata, Mr. Gulagula hakuwa na pesa alipooa (Just kidding 🙂🙂😀😀😱)

Ila mwanamke na uchumi wa mumewe ni sawa na JF na bundle la Internet.
 
Nipe nafasi hiyo

Subiria wengine. Tangu zamani kabla ya nilivyo sasa mtu aliye karibu na umri wangu au haswa chini yangu ni kitu siwezi kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hata kukiota. Hata kama tuseme ningekuwa sina mtu hapana kabisa, hapo naongelea wanaozidisha umri na hawana mtu. Ukitaka nitakupa wadogo zangu uwasiliane nao ukifikiri ni mimi.... ha ha ha haaaaa usiniulize zaidi watu wanaweza kushare pasiwodi ikibidi.

Nakutakia lila la kheri na msako.
 
Haaa haaa Haaa haaaa

Ujue, Miss chagga, hizi id fake isijekuwa wewe ni dada, mama au shangazi hata mke wa brother au mjomba 🙂😀😀😀

Kwa hiyo, tuokoe majanga plz picha basii ihusike kuokoa jahazi lisije zama n'a vilivyomo 😀😀
bora tuwe behind fake I'd tu .. me ni mke wa mjomba wako
 
Subiria wengine. Tangu zamani kabla ya nilivyo sasa mtu aliye karibu na umri wangu au haswa chini yangu ni kitu siwezi kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hata kukiota. Hata kama tuseme ningekuwa sina mtu hapana kabisa, hapo naongelea wanaozidisha umri na hawana mtu. Ukitaka nitakupa wadogo zangu uwasiliane nao ukifikiri ni mimi.... ha ha ha haaaaa usiniulize zaidi watu wanaweza kushare pasiwodi ikibidi.

Nakutakia lila la kheri na msako.
Kwa heri
 
Lakini huyu mbasa kalipwa yale aliyoyafanya kabla ya kumwaoa flora kule mwanza kwa mtoto mmoja wa tajiri wa mabasi ya abiria GEITA mjini yalipobadilishwa matokeo ya vipimo vya HIV kuwa mtoto huyo wa tajiri ana HIV kumbe hakuwa nao

Kulipompelekea kijana yule kunywa sumu kwamba amekutwa na virus lakini vipimo vikarudiwa tena na baba yake kijana yule tajiri wa mabasi na kukutwa hana

Kitendo hicho kilipelekea yule dogo kushindwa kete na mbasha kwa vile anakaa Dar na kufunga nae ndoa kwa hiyo asisikitike malipo ni hapa hapa Duniani
 
Imma alizidisha kupaka mafuta angare .
Dogo wa mwanza nae naona kaanza kupaka mdogo mdogo.
 
Back
Top Bottom