Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbasha amesema kijana aliyemuoa flora hana tatizo naye na alikua hamjui na wala hajawahi kumletea matatizo ila aliyemletea tatizo ni jamaa mmoja ambaye watanzania wote wanamfahamu.
Pia amesemapia flora alimuoa akiwa mama wa nyumbani na kumfanya afahamike na Tanzania na dunia ila alimuacha kwa sababu anazozijua yeye ila alikuwa na fedha za kutosha
[emoji38][emoji38][emoji15][emoji15][emoji15][emoji35][emoji35][emoji134]Fikiria mapenzi ya tetea na jogoo
Halafu mbwa jike na mbwa dume......
Between tetea kiboko ana multipurpose exit! Mapenzi uzazi haja kubwa haja ndogo na Pengine romance hapohapo [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
Nimekuelewa bintiKwa hiyo unajaribu kupingana na Neno la Mungu au? Maana mimi pale nimefanya kunukuu maandiko matakatifu Kama yalivyoandikwa ktk Biblia Takatifu !
Sio mamako?Bashite baba yako
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji38][emoji38][emoji15][emoji15][emoji15][emoji35][emoji35][emoji134]
Msifike huko kwa wazazi tafadhaliSio mamako?
Kabisa kabisaIngekuwa mimi ndie Mbasha ningenyamaza kimya
Unanitishatena hatuchagui mwanaume pesayako tu twende .
story tu weweUnanitisha
Afadhari roho yangu imetulia sasastory tu wewe
furahia maishaAfadhari roho yangu imetulia sasa
Mbasha kaulizwa ktk interview..kajibu. kosa lake nini? Nadhani point yako ingeleta mantiki sana endapo angeanza kuongea mwenyeweWashauri wa huyo Mbasha wangemshauri atulie, aachane na mambo yaliyopita, maisha yaendelee.
Na mimi nataka kujiweka kwako nidekezwe,,,nimpindue bashiteNa anatafuta kiki sasa hivi, kupitia huyo huyo aliyemfanya afahamike.
Flora amesaidia kuwapa wanawake michuma matumaini, na kuonyesha wasisubirie waliowazidi bali waangalie walio na umri mdogo. Wapate unono moto moto, wa umri karibu sawa na wazee wajikalie hukooo.
Dogo dogo mchangamke, mdekezwe.