Mbasha: Aliyemuoa Flora nampelekea ujumbe huu

Mbasha: Aliyemuoa Flora nampelekea ujumbe huu

Yaani mbasha utadhani hawajui Wanaume.....eti anaapa Kuswekwa hajawahi kuingia kwenye anga zake.......
Namcheka kwa dharau
Umeona e ukute wenzie walikuwa wanakulana siku nyingi kwa Siri kubwa
 
Mbasha kaa kimya angalia maisha yako naya mwanao. Kama uliona hastahl baada ya kunuoa inatosha. Kumfanya awe na hela na kujulikana wengi tumefanya mwsho wa Siku thaman yetu haikuonekana. Lakn tulbadl mfumo wa maisha leo tupo juu wanabaki wanalia. Acha kabsa kumuongelea Flora kwenye mitandao ya kijamii unaonekana dhaifu sn na unajutia maamz yako na bado unampenda sn Ila umezidiwa kete. Mbona ulie nae ni mzur sn. Watch ur tongue broo.
 
Yeye mwenyewe mbasha alikua Mariooo na huyo wa sasa naye Marioo so draw ngoma.
 
Anakera na story zake kwenye mitandao wewe umeachwa kaa kimya
 
c62d543df42bf7b1205469cd6e2be6cf.jpg
 
Daah,mbasha achill tu..
Emma bro,kausha..leo upo ad shilawadu asee..
It pains alot sema heri ukaushe...pipo znapata kiki kwa ur sad stories..
 
Anazingua huyu mbasha na kibaya zaidi hivi vipost vyake anavyopiga piga na mademu tofauti ndio anabugi kabisa maana anakuwa kama anasend ujumbe WA kushindana huku akiumia.Akae kimya ndio uanaume.
 
Back
Top Bottom