Mbasha: Aliyemuoa Flora nampelekea ujumbe huu

Mama michuma! Sema mama wenyenazo, huyo 'f' anauchumagani kwa mfano?
 
Mbasha kuwa unamuongelea mkeo wa zamani kila unapohojiwa na media mi naona kamaa inakushushia hadhi tena ikibidi usikubarinkabisa maswali hayo ya flora

Ukitaka kiki kupitia mkeo wa zamani unaipata ila kwa watu wenye akili timamu tunakuona uko desperate una maumivu na unatamani arudi kaa kimya do your thing baasi
 
Huyu jamaa akitulize tu...
 
Mkuu vipi akae kimya.wakati ndoa yake imeharibiwa na yuleee.tunayemuita ni mchungaji wa kondoo wa bwana
Hizo ni tetesi.....Hata km ni kweli sasa mwanaume rijali ndo unasusa?........Kwa nn asijiulize sababu za flora kutafuta ndyudu zingine????!!!!
 
Ingekuwa mimi ndie Mbasha ningenyamaza kimya
Ni ngumu kunyamaza kwani mambo haya yanapokukuta unajikuta akili inakuruka na unadhani kuongea ndo suluhu na unapoongea sana unahisi nafuu kidogo kwani kwa wakati huo unakua katika msongo na maumivu makubwa sana na unatafuta public sympathy.
But ur right njia nzuri ni kunyamaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…