Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Status
Not open for further replies.
Msamaha ndo mahali pake hapa. Si upande mmoja umeamua tofauti?

Tungesikia hata neno moja linalofanana na kumkumbusha kwamba wao ni wapenzi ko hakuna la ajabu.....shemeji kakazana tu kuomba msamaha tena anatambua kabisa kuwa binti wa watu kaumizwa na hicho kitendo. Mimi naweza kukubaliana na ninyi mkiniambia kwamba hawa watu wanaelewa udhaifu wa mr mbasha kwamba gegedo lake huwa haliachi mwanamke akapita mbele yake.....kwa hyo wakamtegeshea huyo binti na yeye alijitagidi kubisha ila akajilegeza kiaina ili lengo lifanikiwe.....lkn vinginevyo huyu mbasha mbakaji tu....
 
The Whole Point Hapa Ni Kuwa 'amebaka'.......sooo Hajabaka....

No Case...Ma,bo Yao Haya ...Watamalizama.

Yani hii ishu wangeweza kuimaliza kifamilia tu, coz wote wawili wwalikuwa wanachepuka! Sasa hii ishu ya kumbambikizia mtu kesi ya kubaka sijaipenda kabisa aisee..
 
Mkuu The bold, niliamini ukweli utakuja kujulikana tu. Kama wanaweza kuwanunua watu wa kujifanya misukule, iweje washindwe kumnunua mbakwaji?

Na jamaa anajua hasa kununua watu! Ipo siku nikaa fresh ntashusha mambo yake huyu jamaa, anavitu vingi sana evil watu hawavijui
 
Last edited by a moderator:
Yani ni maajabu kweli kweli! Mtu anabakwaje mara mbili tena na mtu yule yule alafu eti yuko kimya tu..

mkuuu hii issue imechezwa toka kitambo wa kamsuka jamaa

ILA TANGU AWALI MIMI NILIHOJI JE KWNINI FLORA KAENDA KUISHI HOTEL???
JE GHARAMA ZA HOTEL HAPA MJINI NZURI KABIS TUSEME NI ELF 50 MPAKA 100 KWA SIKU JE NI NANI ANAELIPA HIZO gharama????

nikasema tena KWANINI MCHUNGAJI WAO ASIWAPATANISHE??????
 
Na jamaa anajua hasa kununua watu! Ipo siku nikaa fresh ntashusha mambo yake huyu jamaa, anavitu vingi sana evil watu hawavijui

yaani huyu jamaa ni reflectiin ya FAKE PASTOR YAANI
mimi nilishangaa mwanakwaya wake wa kiume anatafuta mkanda wenye belt kubwa ili akicheza kiuno kikatike

loooh VIPI KUHUSU HAO WAKAKA????

siend mbali ila Uk makanisa ya kiroho yanawakubali mashoga lakini pia GWAJIMA ANA KANISA UK..


Mungu ni wakati wa wewe kutuonesha pumba ni zipi
 
ha ha ha ha.... mkuu The bold umemaliza kazi, umebadilisha upepo tayari kwa kumwaga data ambazo hata kama si za kweli ila lazima zinafanana na ukweli
 
Last edited by a moderator:
Kwa ujumla wame plan hii kitu kwa upumbavu wa hali ya juu na reputation yao imeharibika sana.
 

masai dada nakuona hubanduki leo kwenye uzi huu, unapitia page moja baada ya nyingine.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mwakibete
njoo weka hizi posts za The bold pale juu kwenye ile clip hii movie iendelee....
 
Last edited by a moderator:
masai dada nakuona hubanduki leo kwenye uzi huu, unapitia page moja baada ya nyingine.

boyfiend wangu kaniambia twende kanisani nikanyamaza kimya bila kuongea nikikumbuka
SIKU NIMEENDA KWENYE PARTY ya harus MC alikua muimbji mmoja maarufu sana hapa tz wa nyimbo za injili

UNAJUA ALISEMAJE;sitaki kusikia nyimbo za kitoto leo ni nyimbo za kikubwa basi tulicheza ngololo wewe

UNAJUA ALIVAAJE;kisketi cha bigijii na blauzi ya mabega wazi

Ile sherehe ilikua ni ya mtu mwenye pesa mzito sana hapa nchini SIMTAJI

ILA NISHAGUNDUA HAWA WAIMBAJI WANAANGALIA PESA KWANZA SINA HAMUUU

bora umuamni mungu na kutenda mema ila huko kwa kina Gwajima ni dhihaka

LOVE IS MY RELIGION
 
Last edited by a moderator:
Hiyo clip jamani mi mbn sijaipata? Naifungua attachment haina kitu
 
haki ya nani ikifika hapa naukumbuka ule mstari
ANGALIENI MAKAHABA WASIWATANGULIE
pia nakumbuka wimbo wa dada mmoja anasema
USIWE KAMA DEREVA WA MATATU YEYE ANASEMA TWENDE KISHA ANABAKI NYUMA

kwa kifupi Gwajima katika hili achomoki

Cmu zote ukiona mkeo yuko karibu na wachungaji jua kashaliwa mda,flora kicheche mda tuko yuko frm 1 ameanza kupenda dushe mda mi nlijua 2 mbasha katolewa kafara.

J5 ntakua mwanza hii habari ntaipata vizuri kwa mjomba wke mmoja hivi cz ni mshkaji wng kitaa
 
Mtu kagegedwa mara 2 kimya, ya 3 kabakwa na waandishi wakaarifiwa na ndugu.Kwa mila nyingi za Tz suala hilo hutatuliwa kwa vikao na huwa siri sasa hao mashemeji wakaamua kuwauzia habari waandishi.Kila nikiunganisha dots nashindwa kumuhukumu kwa kosa la ubakaji bali kosa lake ni la uzinzi.
 
Subscribed!!!!
Khaaa!!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app.
 

Akisikia Mchungaji lusekelo mzee wa upako lazima aropoke kanisani kwake ili azidi kumpunguzia wateja gwajima maana wachungaji ni full kushindana. Sema masai dada nimesikitika kusikia una boifrendi maana nilikuwa nakuvizia kimya kimya
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…