Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Status
Not open for further replies.
Tunaisubiri hiyo nondo ya mwisho mkuu, masai dada ashakuahidi kukutunuku papuchi badae.

ahaahahaha simpi papuchi hii anapata njiaa kuu tu NAMNUNULIA MAJI YA MENDE KAMA ANATUMIA
KAMA HATUMII BASI HATA DINA SI MBYA
 
Masai Dada punguza hasira,ungekua hakimu wa hiyo kesi ubgemfunga miaka yote


Sent from my iPhone using JamiiForums

ila tukienda mbele tukirudi nyuma NDOA YAO IMETAWALIWA NA UZINZI

BAMA NA MAMA WOTE

SEMA NI WAKTI WA MUNGU UMEFIKA KUWA UMBUA
 
ila kuhusu milioni 10 za Gwajima nahitaji ufafanuzi plz The bold
 
Last edited by a moderator:
kaziipo,[MENTION]Thebold [/MENTION]njoo utoe nondo,umiaibishe shetani
 
we unajuaje kama diplomasia haikutumika, unafikia hitimisho kwamba amebaka?

Mkuu wa chuo

Kumbuka sheria ya jinai (SOSPA) yasema kwamba mtoto hawezi kukubali i.e a minor can not consent lonapokuja suala la tendo la ndoa!
 
Swali la tatu...

Kwanini hii ishu wameipeleka fasta kwenye media! Yani binti yuko polisi anaandika maelezo wao wameshawapigia simu waandishi wako nje wanawasubiri kumuhoji! Binadamu huwa wepesi kutangaza habari njema zinazotuletea sifa! Inakuwaje habari mbaya na kudhalilisha familia kama habari hii wao wanakuwa wepesi kiasi hicho kuipeleka kwenye media??? Alafu kama hiyo haitoshi wanamrekodi mbasha na kuivujisha audio kwa makusudi kabisa ili iweje!! Kama kweli jamaa amebaka mbona wanatapatapa kutafuta huruma ya wananchi na media??? Kwanini wabehave namna hii????

Mkuu kweli sasa nimeanza kuamini ebu tupia picha ya mchungaji gwajima mm simjui
 
Lets Get it on....Awwwwwwwwewouuuuh.....Lets get it on........



We are all sensitive people......
 
Huyu bibie alitoroshwa n kibabu cha kizungu akiwa frm 2 then akaja na stori alitekwa so hii michezo ndio zake
uuuuuuuuuwi,kazi ipo nae Emma ilikuaje akaoa hapo,ona sasa,ila wameoana wote wanapenda kuchepuka.Kama Emma anagegeda shemeji hapo ndo kashemsha,mbona wanawake nje wapo wengi tu,na alivyo handsome nani angemkataa?
 
uuuuuuuuuwi,kazi ipo nae Emma ilikuaje akaoa hapo,ona sasa,ila wameoana wote wanapenda kuchepuka.Kama Emma anagegeda shemeji hapo ndo kashemsha,mbona wanawake nje wapo wengi tu,na alivyo handsome nani angemkataa?

Bibie kitaa babu na bibi walimshindwa alikua mcharuko balaa,nimekaa nao mtaa mmoja so hpo Ima aliingia cha kike
 
uuuuuuuuuwi,kazi ipo nae Emma ilikuaje akaoa hapo,ona sasa,ila wameoana wote wanapenda kuchepuka.Kama Emma anagegeda shemeji hapo ndo kashemsha,mbona wanawake nje wapo wengi tu,na alivyo handsome nani angemkataa?

Inawezekana nyama ya ulimi nzito sana
 
okeeyyy inabidi tukutane kwetu pazuri baadae

Jamani sitaki kumtaja mtu jina naomba mjiongeze wenyewe! Mtu akitaja jina mie simo

Ila kwa kifupi hapa namuongelea mchungaji mmoja maarufu sana hapa town, anasukuma ndinga ya maana (hummer), ana mjengo wa maana wa ghorofa nne mbezi beach, na ana hela mpaka hajui azifanyie nini, ana mtoto wa kike anasoma high school nchini Switzerland, na juzi juzi amenunua magari 32 yenye jumla ya thamani ya zaidi ya milioni 250 ameyagawa kwa wasaidizi wake kanisani kwake!


USHIRIKI WAKE KWENYE BIASHARA YA SEMBE.

Huyu mtumishi ana dada zake wawili wote wameolewa na wachungaji wake wasaidizi hapo kanisani kwake, mmoja anaishi ubungo mwingine anishi kibaha kwa Mathias.! Hapa nataka kumuongelea huyo anayeishi kibaha kwa Mathias, yeye na mme wake wamejaliwa kupata watoto wawili, na mumewe ni Kiongozi kanisani kwao (kanisani kwa kaka yake) upande wa ulinzi na usalama.. na anahusika moja kwa moja na ulinzi wa mchungaji wetu tunayemuongelea hapa (mzee wa humer na misukule)! Kwa kifupi jamaa yuko katika ‘inner circle' ya mzee wa hummer na misukule!
Sasa huyu jamaa (shemeji/mlinzi wa mzee wa Hummer) mwaka jana alimleta binti kutoka kijijini kwao akasema kuwa ni mtoto wa shangazi yake!! Baada ya miezi kadhaa mkewe akagundua kuwa jamaa anammega yule binti, basi kukawa na ugomvi mkubwa sana, mpaka mzee wa hummer ikabidi aingilie!! Baada ya kuingilia na kumtetea dada yake, shemeji mtu akamaindi sana kiasi ambacho akaacha hata kwenda kusali kule kanisani na mpaka cheo chake cha chief security officer wa mzee wa hummer akakipiga chini! (Huyu jamaa ni mwanajeshi kikosi cha hapa kigamboni)

Kupitia huyu bwana ndio tukanyetishwa hili suala ntalolielezea hapa..

Mwaka jana mwezi novemba kuna gazeti moja la global liliandika habari kuwa mzee wa hummer amelishwa sumu na askofu watu wakaponda kuwa ni uongo ila mzee wa hummer anataka kujipa promo! Ile ishu ilikuwa ni kweli coz hata mimi mwenyewe niliifahamu karibia miezi minne kabla haijatoka kwenye gazeti ila nilikuwa sikujua why askofu alimlisha sumu, na sababu ambayo baadae global waliitoa ilikuwa ya kijinga mno eti jamaa wenzake wanamuonea wivu! Sasa huyu mnyetishaji wangu ndo amenifumbua macho.. ishu iko hivi!!

Jamaa anasema kuwa katika sekta ya hawa ‘watumishi wa mungu' kuna CARTEL ya watu sita ikiwajumuisha mzee wa hummer, mchungaji mmoja wa kike ana kanisa mikocheni B pamoja na mwingine ana kanisa kubwa sana Mwenge (sio kakobe) huyu anajiita ‘mtume na nabii'!
Anaendelea kusema kuwa hawa wawili (mama wa mikocheni na mtume wa mwenge) wao ni wazoefu sana lakini huyu mzee wa hummer ni wa juzi tu kwenye mtandao ila ni mjanja mni coz ameweza kujenga mtandao mpana sana na amekuwa akiwazunguka wenzie! Sasa anadai kuwa mwaka jana ugomvi wao ulifikia pabaya zaidi kiasi kwamba wenzie walidhamiria hasa kumuua!! Mwaka jana pekee mzee wa hummer alivamiwa mara mbili nyumbani kwake na watu wasiojulikana na hawakuiba chochote inasemekana kuwa walikuwa wanamsaka mzee wa hummer bahati nzuri hakuwepo (hili Mimi mwenyewe binafsi nimelithibitisha kupitia kwa ndugu zake wa karibu)


(Mwishoni ntaeleza connection iliyopo na tukio la Mbasha)


Itaendelea...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom