masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
hilo si tatizo, we endelea nae tu ila namimi haki yangu ya kuchepuka niwe napewa tu.
hahahaha sawa tuta arrange
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hilo si tatizo, we endelea nae tu ila namimi haki yangu ya kuchepuka niwe napewa tu.
hahahaha sawa tuta arrange
Tunaisubiri hiyo nondo ya mwisho mkuu, masai dada ashakuahidi kukutunuku papuchi badae.
Masai Dada punguza hasira,ungekua hakimu wa hiyo kesi ubgemfunga miaka yote
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hiyo kweli hawa manabii wanapenda papuchi balaa ila jamaa ajitokeze then apate dhamana awaumbue 2 flora na gwajima wke
Takwenya ndito
yaap ili tujue kabisa hizo kwaya na mahubiri ni KUTAFUTA HELA AU NI NINI
ila kuhusu milioni 10 za Gwajima nahitaji ufafanuzi plz The bold
we unajuaje kama diplomasia haikutumika, unafikia hitimisho kwamba amebaka?
kaziipo,[MENTION]Thebold [/MENTION]njoo utoe nondo,umiaibishe shetani
Swali la tatu...
Kwanini hii ishu wameipeleka fasta kwenye media! Yani binti yuko polisi anaandika maelezo wao wameshawapigia simu waandishi wako nje wanawasubiri kumuhoji! Binadamu huwa wepesi kutangaza habari njema zinazotuletea sifa! Inakuwaje habari mbaya na kudhalilisha familia kama habari hii wao wanakuwa wepesi kiasi hicho kuipeleka kwenye media??? Alafu kama hiyo haitoshi wanamrekodi mbasha na kuivujisha audio kwa makusudi kabisa ili iweje!! Kama kweli jamaa amebaka mbona wanatapatapa kutafuta huruma ya wananchi na media??? Kwanini wabehave namna hii????
Yani hii ishu wangeweza kuimaliza kifamilia tu, coz wote wawili wwalikuwa wanachepuka! Sasa hii ishu ya kumbambikizia mtu kesi ya kubaka sijaipenda kabisa aisee..
uuuuuuuuuwi,kazi ipo nae Emma ilikuaje akaoa hapo,ona sasa,ila wameoana wote wanapenda kuchepuka.Kama Emma anagegeda shemeji hapo ndo kashemsha,mbona wanawake nje wapo wengi tu,na alivyo handsome nani angemkataa?Huyu bibie alitoroshwa n kibabu cha kizungu akiwa frm 2 then akaja na stori alitekwa so hii michezo ndio zake
uuuuuuuuuwi,kazi ipo nae Emma ilikuaje akaoa hapo,ona sasa,ila wameoana wote wanapenda kuchepuka.Kama Emma anagegeda shemeji hapo ndo kashemsha,mbona wanawake nje wapo wengi tu,na alivyo handsome nani angemkataa?
uuuuuuuuuwi,kazi ipo nae Emma ilikuaje akaoa hapo,ona sasa,ila wameoana wote wanapenda kuchepuka.Kama Emma anagegeda shemeji hapo ndo kashemsha,mbona wanawake nje wapo wengi tu,na alivyo handsome nani angemkataa?
Bibie kitaa babu na bibi walimshindwa alikua mcharuko balaa,nimekaa nao mtaa mmoja so hpo Ima aliingia cha kike
okeeyyy inabidi tukutane kwetu pazuri baadae