Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Msamaha ndo mahali pake hapa. Si upande mmoja umeamua tofauti?
Tungesikia hata neno moja linalofanana na kumkumbusha kwamba wao ni wapenzi ko hakuna la ajabu.....shemeji kakazana tu kuomba msamaha tena anatambua kabisa kuwa binti wa watu kaumizwa na hicho kitendo. Mimi naweza kukubaliana na ninyi mkiniambia kwamba hawa watu wanaelewa udhaifu wa mr mbasha kwamba gegedo lake huwa haliachi mwanamke akapita mbele yake.....kwa hyo wakamtegeshea huyo binti na yeye alijitagidi kubisha ila akajilegeza kiaina ili lengo lifanikiwe.....lkn vinginevyo huyu mbasha mbakaji tu....