Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Status
Not open for further replies.

yaani leo ingekua ijumaa tungeenda coco na pc huku tukimcheki davido
mimi na@The bold tukiendelea kupost

bado mkuu ujatoa ile ya kushindana nani atatoa pesa nyingi katika msiba wa kulola
usisahau connection ya million 10
lakini pia kwa sasa harekod tena na mkandamizaji
lakini pia sidhani kama mkandamizaji ana uhusiano mzuri na dada flora
je vipi kuhusu mchungaji alietaka mali za kulola
IKUMBUKWE KATIKA CLIP MBASHA KAMTAJA MZEE
LAKINI PIA KAMTAJA MAMA KAZEBA,na wadogo wa mama kazeba,na je babu na goodluck inakuaje,????watoto wa kulola

LAKINI PIA ESTER na umri wake wa 17 iweje anafanya kazi ni kazi gani

vipi kuhusu suzy????
patrick ni nani????

je nyumba wanayoishi ni ya nani ya mbasha au ya flora???
DORI NI NANI?????
mbonawanawake wengi wapo hapo katikati

FLORA anumwa moyo kisa???

KATATWA SUZY kuwa akinifunga itakuaje
 
TATIANA umenifanya nimeacha bia yangu nimekuja mbio mbio kumbe bado
 
Last edited by a moderator:
je kwanini huyo demu analia kimaigizo hivyo?????
alafu nani aliempeleka polisi????

ALIVYOBAKWA ALIPIGA KELELE?????
HAPO NYUMBANI HAKUNA MTU???
MAJIRANI????

vipi kwa nini asiende kwa dada yake???amuambie

ina maana hakuna mtu mzima yoyote mpaka dogo kaenda mwenyewe

NI NANI ALIEMPELEKA POLISI DOGO???

TUANZIE HAPO
 
Home shopping hadi kahama jiji,chezea Bongo wewe ila tindikali ni noma Gwajima siyo rahisi kumpata

Kila binadamu ana mjanja wke imma ni sharo huyo anatakiwa risasi apotee na dhambi zke hata mungu hampendi gwajima ndio mana anaumbuka,mengi yatakuja mara hii ni case ya 3 kuhusu wake za wa2 kua anawamega,mimi makanisa y cjui kiroho nakaa nayo mbali aaah gwajima nae shababi
 


Mkuu wewe ni mwanasheria?
 
Sasa anaomba msamaha wakati kesi iko police haiwezekaniki. There is conspiracy behind this. Someone wants this guy out of Frola's life thats it.
 
Home shopping hadi kahama jiji,chezea Bongo wewe ila tindikali ni noma Gwajima siyo rahisi kumpata

Huyo mda c mrefu wa2 watamfanyia ki2 mbaya laana y mungu huwa hapahapa duniani,wke z wa2 sumu pia vijana wanakufaa n sembe zote dhambi zinamshukia yeye,makanisa cjui y kiroho weka mbali na watoto pia imma aende kwa lwakatare au mwingira atapewa backup ya kutosha mana ndio maadui w gwajima
 
masaidada em subiri kwanza, mbona unataka kubadili muelekeo wa siredi mapema namna hii, hizo "followa apu" kwesheni em kaa nazo kando acha thebold akate kiu yetu kwanza.


Sent from my iPhone using JamiiForums app.
 
Last edited by a moderator:
masai dada umetisha Leo hii
 
Last edited by a moderator:
Dori ni mdogo wake flora,Suzy pia ni mdogo wake flora.Mama Kazeba ni mama mzazi wa flora.Goodluck ni mtoto mkubwa wa Moses Kulola.Mengine tusubiri wengine wajibu
 
Gwajima ni tapeli mwanga mkubwa.

Haya manabii fake yana mwisho wke kuna limoja nlikutana nalo mwanza goldcrest hotel eti chakula wanatest bodyguard wke then ndio kinaenda mezani,nyambafu zke kumbe nayo yanaogopa kufa wakti yanatapeli maskini.

Ndio mana familia zao hukosi mashoga mungu anawapa adhabu hpahpa duniani
 
Dori ni mdogo wake flora,Suzy pia ni mdogo wake flora.Mama Kazeba ni mama mzazi wa flora.Goodluck ni mtoto mkubwa wa Moses Kulola.Mengine tusubiri wengine wajibu

Kumbe unawajua ima atawaumbua soon ye2 masikio na macho
 
masai dada, kweli leo umeamua. Mpaka kieleweke. Wamezidi kumchezea Mungu hawa watu.

mimi nishamwambia boy wangu kanisani siendi maana nina vidonda sana juu ya pastor sijui niende wapi kukutana na mungu

hili la kwenda kanisani ex wangu yupo umu tulisumbuana sana nadhani hapo alipo anacheka tu akiona hapa maana kila siku siendi akiniuliza sina jibu la kueleweka moja kwa moja
ILA SIKUWAHI KUMWAMBIA NI KWAMBA HATA KAMA WANATAJA JINA LA MUNGU MAOVU YAO YANANISHINDA KUTOLERATE WAKIWA MADHABAUNI

mzee wa upako nammezea kwa leo ipo siku nina details zake nyingi

yaani mimi mwinjilist wa kanisa langu nilimo barikiwa ni issue yaan siku moja nitaeka uzi wake
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…