Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Status
Not open for further replies.
Jamaa amekosea sana anatumia pesa kumbaka shemejiye eti bila mimi usingepata kazi morocco, bila flora asingejua ofic ya Mengi, ya Lowassa bila mimi flora asingekuwa anapata show.. yaani kama mimi ndo hakimu wa hii kesi na muhukumu kifungo cha maisha iwe fundisho kwa wengine usitumie fedha zako kama fimbo ya kuwachapia wasio na pesa au maskini.

Mjinga sana huyo jamaa mkuu! Kwahiyo anatumia ukilanja wake kwenye familia kubaka!
 
The Bold utakuwa umeisaidia jamii kwa revelation hii. Mungu lazima akutunuku. Umeweza kuwasaidia watu wake wasihadaike na mashetani. How I miss Mzee Kulola.
 
mzee kulola anaingiaje kwenye hii ishu? ana uhusiano gani na hizi pande?
 
Naanza kupata shaka hata ule mchuma wa mamilion wa Flora atakuwa kanunuliwa na Gwajima,pole kwa Emma jela inamsubiri,huku Gwajima ndo ajimilikishe kabisa

Hpo hamna kesi ni hela inatembea tu m2 anagegedwa mara3 au zaidi unasema umebakwa,hakimu atakufunga cz amepewa rushwa ila ima nae c mjinga atakuja na bomu gwajima ataomba poo,hawa manabii wa ajabu kiama chao chaja yani wao ni uzinzi tu.

Mbasha anaonewa ingekua mimi ningelipiza kwa mbinu a mbayo gwajima angefunga mdomo ama aniue
 
Hakuna mtu anaweza kutrace IP address hapa JF...... Invisible halali kuhakikisha usalama wako The bold ....cha msingi hatuvunji sheria......Wameshindwa viwavi wenye ruzuku za kufuru zisizokaguliwa na CAG wataweza kuku tu wanaochungulia JF kwa simu za tochi?
 
Last edited by a moderator:
Ninyi ndo watu wa maana bora useme black and white
Naomba nifunguke kidogo nielezee kile ninachokifahamu kuhusu ili sakata!!

Mgogoro katika ndoa ya Mbasha na Florah ulianza kushika kasi mwaka jana mara baada ya Florah na Mumewe kuhamia kuanza kusali kanisani kwa GWAJIMA (ufufuo na Uzima - kawe) wakitokea kanisa la MITO YA BARAKA (kariakoo)! Inasemekana kuwa mara baada ya kuhamia kanisani hapo kwa mualiko wa Gwajima (aliwaombe waje kusali kwake), mchungaji Gwajima alimfanya florah kama kiongozi wa Ibada ya SIFA na KUABUDU katika mikutani yake!! Kama ni mfuatiliaji wa haya mambo utakumbuka kuwa mwaka jana Florah alizunguka Tanzania nzima akiwa na Gwajima wakifanya mikutano ya Injili!!

Baada ya Muda kidogo Mchungaji Gwajima alimpeleka Florah London kwaajili ya masomo kitendo ambacho inasemekana kilipingwa sana na mumewe Mbasha! Ikumbukwe kuwa GWAJIMA haiwezi kupita miezi miwili pasipo kwenda UK coz amefungua kanisa kule (GLORY OF CHRIST - UK)!! So katika kipindi ambacho florah alikuwa London walikuwa wanaonana mara nyingi sana na GWAJIMA...

Baada ya Florah kurudi Tanzania ndipo akaanza hii ziara ya kuzunguka mikoani na GWAJIMA.. inasemekana kuwa katika kipindi hiki ndipo mahusiano ya kindoa kati ya forah na mumewe yalizorota zaidi... baada ya ziara kuisha Florah arirudi nyumbani lakini she wasn't the same (nisiseme zaidi)! Baada ya mikwaruzano ya hapa na pale ndipo Florah akaenda kukaa hotelini na inasemekana hoteli ilikuwa inalipiwa na mchungaji GWAJIMA, ikumbukwe kuwa ni swala la kawaida kwa Gwajima kuwalipia bills mbalimbali viongozi wake wa huduma hapo kanisani kwa mfano anamchngaji anaitwa MAXMILLIAN MACHUM amempangishia nyumba ya ghorofa pale ubungo na wachungaji wake wote wapatao thelethini amewanunulia magari!! Lakini hata hivyo hii hatua yake ya kumpangia hoteli mke wa mtu ilizua maswali mengi sana.....

NAOMBA TUDIGEST HII KWANZA ALAFU NTARUDI HAPA KUELEZEA YAFUATAYO

1. Kisa cha mbasha “kubaka"
2. Milioni 10 alizotoa GWAJIMA kwenye msiba wa kulola
3. Mungu akinipa ujasiri nitamtaja kabisa mtu aliye nyuma ya pazia ya hii sinema..
 
The Bold utakuwa umeisaidia jamii kwa revelation hii. Mungu lazima akutunuku. Umeweza kuwasaidia watu wake wasihadaike na mashetani. How I miss Mzee Kulola.

Kafungua macho ya watu wengi wakusikia tumesikia endelea kutuhabarisha The Bold
 
Kuna mburura nahisi ni misukule ya mzee wa hummer wananithreat PM eti wanatrace my IP address!! Nawashauri muendelee kutrace ila mkae mkijua wengine mnaotaka kutuchokoza vina virefu!! Ntawedekisha bahari, na tena ndio mmenitibua kabisa leo naropoka mpaka kesho mfunge kanisa kwa aibu!! Manina


NTARUDI WAKUU!

Mkuu usiogope kuwa na amani endelea kuwa na moyo huo huo wa kufichua maovu. BIG UP BOLD
 
ha ha ha ha.... mkuu The bold umemaliza kazi, umebadilisha upepo tayari kwa kumwaga data ambazo hata kama si za kweli ila lazima zinafanana na ukweli

Mkuu hakuna kilichojificha hapo. Ni suala la muda tu, naamini kila kitu kitakuwa sawa.
 
Last edited by a moderator:
Emma Mbasa akini PM nampa mbinu kali sana kumuaibisha Gwajima.

Au laa kufa kijerumani na tai shingoni kama Babu Seya na wanaye walioiachia "mahakama itende haki" Nani kasema bongo kuna haki, hapa mbasha unapigwa kifungo cha maisha jela halafu wanakufuata huko huko na kukuzima na Polonium, chezea freemasonry
 
Au anaogopa UKIMWI,Condom hajui kutumia ndo maana akaona ajiservie wa ndani hapo hapo anaemfahamu tokea mdogo

Inawezekana kabisa amezoea vya kunyonga vya kuchinja hawezi. Katumia nguvu kubwa kuliko akili ndogo tu kutafuta kamchepuko huko nnje awe anajipooza analala huko mbona hata mke angejishtukia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom